Newcastle United 0-1 Manchester City: Pep hashikiki, afikisha mechi 20 bila kupoteza

Hahaha ila inashangaza kwamba eti watu wana ushabiki na man city ...ila kukengeuka kubaya leo uko arsenal ikifanya vizuri, ikiboronga unahamia man city inayofanya vizuri,
Hahaahhaha usimwamin mtanzania hata kidogo
 
Ubovu angeonesha msimu uliosha had alikuwa anaitafuta nasaf ya nne kwa toch dadek hata kikombe cha maj hamna
Ngoja nikuulize swali moja,au mawili.

Niligi gani ulaya miongoni mwa ligi tano kubwa ambazo timu yakwanza inaogoza ligi kwa point 15 zaidi ukitoa EPL?.
 
Bado kidogo akili zako ziendane na mourinho wote ni zero brain
Zero brain ni wewe tunazunhumzia usajili unaombwa jamaa akutag zimo nyie mara timu haikuwa yake nani mwenye timu mara kafukuza wachezaj nane nani alimwambia afukuze wenzie wamebeba ndoo na wazee
 
Ubovu angeonesha msimu uliosha had alikuwa anaitafuta nasaf ya nne kwa toch dadek hata kikombe cha maj hamna
Hakupata kikombe kwa sababu alikuta timu imejaa wazee ndio maana kawambia wafungashe virango waondoke ili afanye yake.
 
[emoji23][emoji23]
man u ikiongoza utasikia "timu man u
arsenal ikiongoza utasikia "timu ganaz
chelsea ikiongoza utaasikia "timu ze bluuz

Sasa man city mashabik wanatoka wap na ww? Msimu uliopita mlikuwepo?
 
Man city wasingekuwepo msimu huu tungetwaa ubingwa
 
Zero brain ni wewe tunazunhumzia usajili unaombwa jamaa akutag zimo nyie mara timu haikuwa yake nani mwenye timu mara kafukuza wachezaj nane nani alimwambia afukuze wenzie wamebeba ndoo na wazee
A ha ha wabebe hizo ndoo sasa tuone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…