KALINZI NYUMBANI
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 1,797
- 1,594
Ndio naelewa point ya msingi.Unaelewa point ya msingi au unajibu kwa mihemko?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio naelewa point ya msingi.Unaelewa point ya msingi au unajibu kwa mihemko?
Hahaahhaha usimwamin mtanzania hata kidogoHahaha ila inashangaza kwamba eti watu wana ushabiki na man city ...ila kukengeuka kubaya leo uko arsenal ikifanya vizuri, ikiboronga unahamia man city inayofanya vizuri,
Post ya limbuken wa mpira mwaka jana conte mbona hamkumfungulia thread aliposhinda mech 12 mfululizo? Tena kwa idad kubwa ya magoli 4 au 3
Acha ujinga kwan Walker amecheza machi ngapi, unazungumzia Stone ambaye amekaa majeruh muda mrefu wew utakuwa mpira unausoma kwenye magazetiNa fist eleven yake wachezaji wapya wawili tu johnstone na sane
Ngoja nikuulize swali moja,au mawili.Ubovu angeonesha msimu uliosha had alikuwa anaitafuta nasaf ya nne kwa toch dadek hata kikombe cha maj hamna
Zero brain ni wewe tunazunhumzia usajili unaombwa jamaa akutag zimo nyie mara timu haikuwa yake nani mwenye timu mara kafukuza wachezaj nane nani alimwambia afukuze wenzie wamebeba ndoo na wazeeBado kidogo akili zako ziendane na mourinho wote ni zero brain
[emoji23][emoji23]Hahaahhaha usimwamin mtanzania hata kidogo
Hakupata kikombe kwa sababu alikuta timu imejaa wazee ndio maana kawambia wafungashe virango waondoke ili afanye yake.Ubovu angeonesha msimu uliosha had alikuwa anaitafuta nasaf ya nne kwa toch dadek hata kikombe cha maj hamna
[emoji23][emoji23]
man u ikiongoza utasikia "timu man u
arsenal ikiongoza utasikia "timu ganaz
chelsea ikiongoza utaasikia "timu ze bluuz
HamnaNgoja nikuulize swali moja,au mawili.
Niligi gani ulaya miongoni mwa ligi tano kubwa ambazo timu yakwanza inaogoza ligi kwa point 15 zaidi ukitoa EPL?.
A ha ha wabebe hizo ndoo sasa tuone.Zero brain ni wewe tunazunhumzia usajili unaombwa jamaa akutag zimo nyie mara timu haikuwa yake nani mwenye timu mara kafukuza wachezaj nane nani alimwambia afukuze wenzie wamebeba ndoo na wazee
Jana walioanza kikosini wapya walikuwa wangap??Mwaka huu kafanya usajili gani kwenye first eleven ukimtoa kipa Ederson
Na hakika Man u mgechukua ubigwa.Man city wasingekuwepo msimu huu tungetwaa ubingwa
Kwani mashindano yameisha?A ha ha wabebe hizo ndoo sasa tuone.
Ukipita mjini tunawaona siku hizi na jezi za man citySasa man city mashabik wanatoka wap na ww? Msimu uliopita mlikuwepo?
Chaka tupa kuleWapo man united
Sasa ligi ngumu kweli gap linakuwaje kubwa kiasi hicho kuliko ligi nyepesi?.Hamna
Mashindano hayajaisha,lakini kwa ubovu wenu Man city akipeteza point 3 nyie mtakuwa mmepoteza point 6.Kwani mashindano yameisha?
Mkuu tunabishana na wasiojua mpira, kuna wengine wanasema anasaidiwa na usajili wengine et first eleven ni ileile sasa sijui tuelewe nn??Bernardo Silva na mendy umewasajili wewe?