Newcastle United 0-1 Manchester City: Pep hashikiki, afikisha mechi 20 bila kupoteza

Sasa man city mashabik wanatoka wap na ww? Msimu uliopita mlikuwepo?
Kama wapo watajua wenyewe,lakini mimi binafsi namkubali Pep tu maana mlikuwa mnasema anakimbilia ligi mbovu lakini sasa kawafata ligi yenu.
 
Tunazunhumzia ni pidgin au Creole?
Tayar ushalewa hapa tupo na vitoto sasa kumuulize mwalimu wako wa language kama man city inangiliana na hayo mambo nashangaa hawa mashabik wa city wanatoka wap kumbe ni watu waliokata tamaa sasa wanailazimisha furaha kwa kuhamia sehemu fulan yenye unafuu baada kujeruhiwa

Ngoja niwaache baada ya kugundua hii timu imevamiwa na watu wanaotaka mafanikio ya haraka hata city ikichemka mtahamia timu nyingine itakayozuka kama uyoga.
 
A ha ha ha pale mtu point zinapomuishia anaukimbia mjadala.
 
Kama wapo watajua wenyewe,lakini mimi binafsi namkubali Pep tu maana mlikuwa mnasema anakimbilia ligi mbovu lakini sasa kawafata ligi yenu.
Ligi ya uingereza haina mtawala msimu haujaisha hana hata kombe unaona kabeba kombe point zake ni mech tano mzunguko uliobak mech 19 msimu ulioisha kapigwa sasa nae anashinda kipi kipya?
 
Ligi ya uingereza haina mtawala msimu haujaisha hana hata kombe unaona kabeba kombe point zake ni mech tano mzunguko uliobak mech 19 msimu ulioisha kapigwa sasa nae anashinda kipi kipya?
Mzunguko uliobaki kwanza ni mechi 18 sio 19.

Ligi EPL hana mtawala na wala hakuna ligi yenye mtawala.

Kipindi anapoteza hizo mech 5,maana yake wewe ushinde mechi 6 mfululizo.Maana magoli pia anawazidi zaidi ya magoli 20.

Sasa je kwenye ligi ngumu mbona ushindani hauonekani mkuu?.
 

Ushindani upo akizubaa anatolewa ndo mana unaona anajitahi kushinda
 
Wahafidhina kama wewe hawanaga tofauti na mademu wanaogawa tigo
Toka muda najitahid mno kutotumia lugha za kitoto hii ni kutokana na uwepo wangu hapa jf miaka mingi vingi nimejifunza ma makuzi niliyokuliwa
 
Wahafidhina kama wewe hawanaga tofauti na mademu wanaogawa tigo
Kwa kumalizia tu hata mama yako kabla hajukuzaa alikuwa anaitwa demu lazima alikuwemo kwenye lile kundi la wagawa tigo
 
Ushindani upo akizubaa anatolewa ndo mana unaona anajitahi kushinda
Sawa mkuu mjadala mwema lakini Pep atawasurubu mno maana kikosi chake ukimtoa Mangala wachezaji zaidi ya 16 wanaweza kuanza first 11 timu yeyote ile kwenye EPL kwamaana hiyo Pep atachukua ubingwa.Kuhusu kufungwa anaweza kufungwa na timu yeyote ile lkn sasa tambueni ubora wa Pep.
 

Nakukubali tumejadiliana mpira usio na matusi huo ndio ustarabu
 
radika GUARDIOLA ANAJUA KUFUNDISHA MPIRA, KUFUNDISHA MPIRA NI PALE UNAPOITENGENEZA TIMU UNAYOITAKA HALAFU INAFANYA VIZURI.

GUARDIOLA WAKATI ANAFANYA MAAJABU BARCA MLISEMA BARCA HATA ISIPOFUNDISHWA INASHINDA ILA MLISAHAU KUWA RIJKAD ALIONDOLEWA BAADA YA KUONEKANA BARCA INASUASUA AKALETWA PEP AKAFANYA MAMBO MAZITO

AKATIMKIA BUNDESLIGA MKASEMA ANAENDA LIGI NYEPESI KAMA YE MWALIMU AJE EPL

AMEKUJA EPL AMEIKUTA CTY BOVUBOVU ILIYOJAA WACHEZAJ AMBAO HAKUWA INTERESTED NAO, HAKUFANYA VZURI SANA LAKN CITY HAIKUANGUKA BIG FOUR

MSIMU HUU KAPATA FURSA YA KUTENGENEZA TEAM ANAYOITAKA NA ANAFANYA MAAJABU MNAANZA KUMBWELAMBWELA ETI 'AMESAJILI'

HV KUNA TEAM AMBAYO HAISAJILI? WACHEZAJ GHARI MAN U SI WAPO?? KUNA KOCHA ANAYEZUIWA KUSAJILI! CITY KUNA MCHEZAJI GAN KANUNULIWA KWA PESA NDEFU KAMA POGBA?

ACHENI USHABIKI MAANDAZ, PEP NI KOCHA MZURI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…