KALINZI NYUMBANI
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 1,797
- 1,594
Kama wapo watajua wenyewe,lakini mimi binafsi namkubali Pep tu maana mlikuwa mnasema anakimbilia ligi mbovu lakini sasa kawafata ligi yenu.Sasa man city mashabik wanatoka wap na ww? Msimu uliopita mlikuwepo?