Newcastle United Football Club special thread

Newcastle United Football Club special thread

Anthony Gordon ni jonas Gutierrez mtupu mixer Joey Barton kwa mbaaali😁😁😁
 
Watu walianzishaga Uzi wa Leicester,PSG , zilikufa kifo Cha mende

Huu Uzi Ni swala la muda kabla haujafata nyayo ya hizo zingine

Nakwenda zangu
 
Hivi hamuwezi kutuazima almiron na Barnes majeruhi tukatie amsha amsha pale Bavaria.
 
IMG_1897.jpg

NEXT STOP : BORRUSIA DORTMUND.

Frontline yote imeingia kambani : murphy , wilson, gordon. hapo bado sub walikuepo ( almron, isak, anderson).

Rotation ya maana kabisa hii yaani walioanza game against westham pale frontline ni tofauti kabisa na walioanza leo .
GEORDIE [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
View attachment 2788437

Bro leo limepigwa pira!!!!😁😁😁😁😁
 
Bro leo limepigwa pira!!!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Pira haswa!!!! , murphy amekiwasha si mchezo ndani ya Newcastle anaetoka ni [emoji91] kama anayeingia na hapo bado kuna barnes, willock na botman ni injuries tuombe warudi haraka pira liendeleee .

Hii rotation naikubali sana , inapigwa rotation na bado nyavu zinatikisika mara nyingi pia .
UEFA naona waliotokea sub leo ndo wataanza frontline pale.
 
Utabiri kwa mechi na Dortmund?
 
Utabiri kwa mechi na Dortmund?

Dortmund anakufa goli 2, akijichanganya akaingia kichwa kichwa anaweza akafa nyingi .
Dortmund hawako vizuriii kivile yaani forward hawatishi na mabeki wao vilevile si wakali .

Labda tufanye makosa wenyewe ila naona kabisa uwezo wakupata goli mbili upo na tukicheza kwa discipline ile ile kama tulivyocheza against PSG basii mapema sana tunazibeba point 3[emoji1]
 
Tonali tunaomba usibet leo pleaaaaaseee
 
Attachments

  • FB_IMG_16981618096580625.jpg
    FB_IMG_16981618096580625.jpg
    180.3 KB · Views: 6
Tonali tunaomba usibet leo pleaaaaaseee

Nasikia tunaweza kumkosa mpaka miezi 10 , dogo gambling ipo kwenye damu sana huyu .

Bora hata willock nae amepona maana kumkosa tonali ingekuwa pigo kubwa sana.
 
Nasikia tunaweza kumkosa mpaka miezi 10 , dogo gambling ipo kwenye damu sana huyu .

Bora hata willock nae amepona maana kumkosa tonali ingekuwa pigo kubwa sana.
Ila waitaliano sijui akili zao zikoje, sijui bangi gani wanavuta
 
Tonali hivi yupo kweli?, asije akawepo hata sub huyu atachana mechi kabisa, wachezaji wa kiitaliano wanajua mpira ila bila gambling hawawezi kuishi.
 
Back
Top Bottom