Newcastle United Football Club special thread

Newcastle United Football Club special thread

Punguza makasiriko boss kufungwa kawaida mbona tukishinda huji kutupongeza hope tumetoboa keka lako kwa xmass so kwa hasira hzo
Mi hua sibet.

Hiyo ilikua ni remark baada ya kushindwa kujibu nilichokuuliza.
 
Haka katimu kanataka kubamba.

Kanataka kuchill na big boys

Mechi ya 9 hii away kameshinda mechi 1 tu
 
Haka katimu kanataka kubamba.

Kanataka kuchill na big boys

Mechi ya 9 hii away kameshinda mechi 1 tu
Bado tunapambana sema watu wanatupa mategemeo makubwa we accept the challange we keep moving the wheel
 
Mnahitaji kocha mwingine na wachezaji wengine
Uko sahihi kabisa then kuna hz people mbili chiesa na ramsdale kama dili zao ni kweli zitatuboost vya kutosha maana golini tuna golipicha so golikeeper
 
Uko sahihi kabisa then kuna hz people mbili chiesa na ramsdale kama dili zao ni kweli zitatuboost vya kutosha maana golini tuna golipicha so golikeeper
Howe kafanya kazi nzuri kuwafikisha hapo ila sidhani kama ana mbinu na know how za kuwapeleka next step. Kuna wachezaji hata akija kocha mwingine atabaki nao, kuna wengine atawatumia kidogo kabla ya kutafuta wengine.

Hiki kipindi ndiyo mtajikuta mna near miss za trophies na vitu kama hivyo.
 
Jeuri ya pesa ipo sijui management inakwama wapi licha ya technical banch kua na madhaifu pale anahitajika jitu lilobobea kwenye saikolojia ya michezo maana kuna mda unaona team imetoka kabisa mchezoni hasa tukitangulia kufungwa
 
Oya Kesho ni Tyne-Wear Derby

Hii ndiyo debi ya vichaa zaidi uingereza yaani hii debi ikichezwa kule Upon Tyne migahawa inafungwa kwa muda, maduka yanapunguza shughuli wanapenda kuangalia hawa mahasimu wawili kutoka kaskazini mwa uingereza

Kesho FA CUP
Saa 9:45 jioni
Sunderland AFC - Newcastle United FC

Hakuna jiwe litakalosalia juu ya jiwe
 
Huu ni ukorofi
Screenshot_20240105-174744.png
 
FA Cup›

1704548151394.png

Sunderland
Sunderland
0

HALF TIME

1
1704548151625.png

Newcastle
Newcastle
3rd Round

Goals

D. Ballard 35' (OG
 
Kila mtu ameona kilichotokea Upon-Tyne ni nyeupe na nyeu
FB_IMG_17045591493839725.jpg
 
Back
Top Bottom