Unatupigia kelele tawi lenu?Zile point 3 ulizoziacha st james park umeshazisahau au ndo unajizima data huna cha kututambia kila moja mbabe kwake tuliza domo hilo
Newcastle united yatinga fainali kwa mara ya kwanza baada ya miaka 20 baada ya kumbutua arsenal goli 2 - 0 kwenye nusu fainali ya kombe la Ligi, carabao