Heko mkuu...tulishuka mara mbili....si mchezo!Sie si mlikuwa mnajificha mimi nimechekwa sana kwa zaidi ya muingi mmoja uliopita hadi sasa na mara kadhaa humu jf mimi sioni aibu kusema ni shabiki wa The Lads
Newcastle ina uhai hata ukiangalia msimu huu mechi kumi za mwanzo tuliharibu vibaya mno ila menejimenti imejitahidi tumemaliza sehemu salama licha ya kikosi cha hovyo hovyo tulichokuwa nachoHeko mkuu...tulishuka mara mbili....si mchezo!
Cheikh Tiote (May Allah forgive him and grant him Jannah)Club niliyokuwa nikii-support kabla ya kuhamia Liverpool. Nilikuwa nikiifatilia siku nyingi japo mpaka sasa nini mahaba nayo.
Wachezaji bara kabisa waliopata kuichezea hii klabu ni pamoja na:
1. David Ginola
2. Faustino Asprila
3. Allan sheara
4. Garry Speed (R.I.P)
5. Jermain Jenas
6. Poul Messon
7. Ian Rush
9. Shay Given
10. Greig Bellamy.
Umenena vema mkuu. Solano alikuwa key player pale New castle united. Pia kulikuwa na mfaransa m1 hivi akiitwa Robert hizo shoot zake Lampard anasubiri.Mbona umemsahau Nolberto Solano yule jamaa kutoka Peru, tena amecheza Newcastle kwa vipindi viwili tofauti.
Vipi kuhusu Shola Ameobi mkongwe ambaye pia hakuwa anapata muda wa kutosha wa kucheza, ile loyalty yake inatosha hata awepo benchi tu.
Pia sio mbaya kocha wa kikosi hiko akawa marehemu Sir Bobby Robinson akisaidiwa na Kevin Keagan (KK).
Milner aliuzwa kwenda Aston Villa baadae ndio akaenda City.Umenena vema mkuu. Solano alikuwa key player pale New castle united. Pia kulikuwa na mfaransa m1 hivi akiitwa Robert hizo shoot zake Lampard anasubiri.
Nilikuja kuachana nao baada ya Mike Ashley kuendekeza biashara za kijinga badala ya kujenga timu. Keegan aliondoka baada ya Ashley kuumuza Milner kwenda city. Kitendo kilichomuuzi sana.
Kuna taarifa Tony blair former UK prime minjster anaisuppot.
Kweli, Milne alienda Villa kablaya kwenda City. Unamkumbuka jamaa m1 alikuwa mzee wa kufinya akiitwa Ketsbaih? Alikuwa raia wa Russia kama nitakuwa sahihi.Milner aliuzwa kwenda Aston Villa baadae ndio akaenda City.
Yah ni kwel, Tony Blair ni shabiki wa kutupwa wa Newcastle United.
Katsbaia fundi mmoja wa mpira, na anakumbukwa kwa style yake ya kushangilia goli huku akipiga mabango ya matangazo yale yaliyopo pembezoni mwa uwanja.Kweli, Milne alienda Villa kablaya kwenda City. Unamkumbuka jamaa m1 alikuwa mzee wa kufinya akiitwa Ketsbaih? Alikuwa raia wa Russia kama nitakuwa sahihi.
Vp kuhusu mkali mwingine, Nolan. Alikuwa akishangilia kwa staili ya kukimbia kinyume nyume. Dah tumetoka mbali aisee.Katsbaia fundi mmoja wa mpira, na anakumbukwa kwa style yake ya kushangilia goli huku akipiga mabango ya matangazo yale yaliyopo pembezoni mwa uwanja.
Nolan wa juzi juzi tu afu hakukaa sana, ila anakumbukwa kwa mchango wake kipindi Newcastle iliposhuka daraja, aliuwasha sana moto huko Championship chini ya jemedari Big SamVp kuhusu mkali mwingine, Nolan. Alikuwa akishangilia kwa staili ya kukimbia kinyume nyume. Dah tumetoka mbali aisee.
Aisee we tupically Newcastle Fan sema inaonekana ni muasi tu teh teh tehNolan wa juzi juzi tu afu hakukaa sana, ila anakumbukwa kwa mchango wake kipindi Newcastle iliposhuka daraja, aliuwasha sana moto huko Championship chini ya jemedari Big Sam
Dragoni mwingine alikuwa akiitwa Peter Beardsley halafu kuna mhuni mmoja hivi wa kuitwa Robbie ElliotKatsbaia fundi mmoja wa mpira, na anakumbukwa kwa style yake ya kushangilia goli huku akipiga mabango ya matangazo yale yaliyopo pembezoni mwa uwanja.
Nop, mimi ni mpenda michezo tu! Nipo na shida zangu Man UtdAisee we tupically Newcastle Fan sema inaonekana ni muasi tu teh teh teh
Miaka mitano mbele hao Aston Villa wakala mara mbili yakeNakumbuka mwaka 2005 wachezaji wa Newcastle United ambao ni Lee Boywer na Kieron Dyer walipigana
uwanjani na wote wawili kupewa kadi nyekundu. Ile mechi walipigwa 3-0 na Aston Villa. Hii kumbukumbu haifutiki