Niliwahi kuisaport hii club mwishoni mwa miaka ya 90 kwenda 2000. Ikiwa na nyota kibao. David Ginolla, Faustine Aspirila, Meson, Allan Sheare, Lee bouyer, nk.
Tangu Mike Ashley aichukue hii time 2007, imekuwa ya hovyo na siku zote wanapambana wasishuke daraja. Tangu aichukue imeshashuka mara mbili.
Kuna taarifa kuna Msaudia anaitaka hii timu lakini kuna vikwazo kulingana na rekodi zao kwenye maswala ya haki za binadamu.
Mkuu una moyo mgumu balaa. Omna mpate mwekezaji atakayeibadilisha angalao iweze kushindana pale uingereza, kwenye epl, FA na Carabao.