Newcastle United (special thread)

Poker

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Posts
5,445
Reaction score
14,828
Jina kamili: Newcastle united
Jina la utani: The Magpies
Kuanzishwa: 1892
Uwanja wa nyumbani: St. James Park (uwezo mashabiki 52,000)
Wamiliki: Public investment fund 80% , RB Sports & Media 10%, PCP Capital Partners 10%
 
Mataji ya Newcastle united
Ligi kuu nchini uingereza 4
Kombe la FA 6
Ngao ya jamii 1
Inter cities fair cup 1
Uefa intertoto cup 1
Texaco cup 2
Anglo-italian cup 1
 
Waarabu huwa hawana utani wanapowekeza ama kununua timu.. sio kama waafrika na baadhi ya wazungu.. hii timu itakua tishio sana..mtakuja kuniambia
 
Waarabu huwa hawana utani wanapowekeza ama kununua timu.. sio kama waafrika na baadhi ya wazungu.. hii timu itakua tishio sana..mtakuja kuniambia
watatamba mpaka siku visima vyao vya mafuta vikauke.
 
Nami ni shabiki rasmi wa hii timu... yajayo ni mazuri...

Mpira pesa...
 
nufc, psg, borussia dortmund, ac milan...kundi moja tutatoboa kweli?
 
Huku kuko kimya sana. Watu wanaongelea Newcastle kwenye nyuzi zingine kuliko huku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…