Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
watatamba mpaka siku visima vyao vya mafuta vikauke.Waarabu huwa hawana utani wanapowekeza ama kununua timu.. sio kama waafrika na baadhi ya wazungu.. hii timu itakua tishio sana..mtakuja kuniambia
Hahhaa, mafuta hayawezi kuisha..watatamba mpaka siku visima vyao vya mafuta vikauke.
Dah😂😂😂😂Nyie mnautofauti gani sasa na kina mwijaku na baba levo😂😂😂