Newcastle United wamfunga Liverpool na kutwaa Kombe baada ya miaka 70!

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Newcastle United wamefanikiwa kutwaa taji lao la kwanza kubwa baada ya miaka 70 baada ya kuwalaza Liverpool bao 2-1 katika fainali ya Kombe la Carabao iliyochezwa leo, Machi 16, kwenye Uwanja wa Wembley.

IMG_3544.jpeg

Kwa upande mwingine, wiki imekuwa mbaya kwa Liverpool baada ya kutolewa kwenye Ligi ya Mabingwa Jumanne iliyopita na sasa wakishuhudia kupoteza fainali hii.

IMG_3545.jpeg

==

Newcastle United have won their first domestic trophy in 70 years after beating Liverpool 2-1 in the Carabao Cup.

IMG_3551.jpeg

Tens of thousands of Magpies fans flooded the capital to watch their team end their drought against last year's winners at Wembley.

Newcastle lifted the European Inter-City Fairs Cup in 1969 but haven't won a domestic trophy since their 1955 FA Cup victory.

Liverpool, who have won 38 major trophies since the Black and Whites last got their hands on any silverware, went into the match as heavy favourites.

The last time the teams met, in the league last month, Liverpool eased to a 2-0 win - and they sit comfortably top of the Premier League table, seemingly headed for the title.

Source: Sky News
 
Nguvu ya pesa, Newcastle ilipopata mwekezaji mpya kuna vitu vimeanza kuonekana.
 
Newcastle United wamefanikiwa kutwaa taji lao la kwanza kubwa baada ya miaka 70 baada ya kuwalaza Liverpool bao 2-1 katika fainali ya Kombe la Carabao iliyochezwa leo, Machi 16, kwenye Uwanja wa Wembley.

View attachment 3273146
Kwa upande mwingine, wiki imekuwa mbaya kwa Liverpool baada ya kutolewa kwenye Ligi ya Mabingwa Jumanne iliyopita na sasa wakishuhudia kupoteza fainali hii.

View attachment 3273150

==

Newcastle United have won their first domestic trophy in 70 years after beating Liverpool 2-1 in the Carabao Cup.

View attachment 3273179
Tens of thousands of Magpies fans flooded the capital to watch their team end their drought against last year's winners at Wembley.

Newcastle lifted the European Inter-City Fairs Cup in 1969 but haven't won a domestic trophy since their 1955 FA Cup victory.

Liverpool, who have won 38 major trophies since the Black and Whites last got their hands on any silverware, went into the match as heavy favourites.

The last time the teams met, in the league last month, Liverpool eased to a 2-0 win - and they sit comfortably top of the Premier League table, seemingly headed for the title.

Source: Sky News
Mh Jakaya ni siku ya furaha sana kwake...
 
labda ndotoni, Kama uli msoma mechi ya psg ali pigwa na kitu kizito.
na hilo ndio kombe lenye ushawishi.

haya kombe la pili una kosa, uefa nje, epl si Kama la Liga tu?.

mbape, rafinha, osmane hawawezi kukuacha salama.

View attachment 3273196
Salah kuna kipindi alipoteana msimu huu alirudi kwenye form yake hata na hvo alihusianishwa na hizo tuzo Kwa kuangalia EPL maana kwenye UEFA tangu mwanzoni hakua na maajabu sana PSG ndo wakamtupa jongoo na mti wake
 
Jogoo (Liverpool) leo limekufa kwa mdondo (Newcastle).
Watu wa Astrology na numerology, hii ni coincidence au imetokea tu ?
 
Back
Top Bottom