Newcastle United wamfunga Liverpool na kutwaa Kombe baada ya miaka 70!

Newcastle United wamfunga Liverpool na kutwaa Kombe baada ya miaka 70!

Salah kuna kipindi alipoteana msimu huu alirudi kwenye form yake hata na hvo alihusianishwa na hizo tuzo Kwa kuangalia EPL maana kwenye UEFA tangu mwanzoni hakua na maajabu sana PSG ndo wakamtupa jongoo na mti wake
Huyo ndio ime enda, hata yeye ana jua ndio maana kalia mechi zote
 
Wachezaji wa liverpool walikua wamechoka sana mechi yao na PSG walitumia nguvu kubwa
 
Back
Top Bottom