News about a Commando who gave Al-Shabab terrorists a hell of a time inside the Dusit hotel and kill them both

Mimi sifichi ujinga wangu ndio mana hata pale ambapo sikuelewa niliuliza,

ningekua naficha ujinga wangu ningejiona mwelevu na mjuaji kama wewe

Mna kazi wewe na nani?

Kwanini unapenda kuweka uwingi wakati mimi nazungumza nawewe?

Kwaiyo ulivyonirekebisha hapo juu basi ndio umejiona mjuaaaaaji kumbe kenge tu.

Hapo ni makosa ya kimaandishi na nimekosea kweli na hata wewe unayejiona mjuaji unaweza kukosea pia..

Tokea mwanzo mimi ni mtu nisiyejielewa ndio maana nikauliza pale ambapo sijaelewa

Haya wewe ndugu yangu mwelevu unanisaidiaje badala ya kunipa kejeri na kuonesha dharau juu ya elimu yangu na uelewa wangu..

Karibu tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu elimu haiongezi hekima muheshimu mpumbavu uepukane na balaa maana ataanza kutukana.Amesoma lakini hajaelimika.
 
Ushogarema!!! msamiati mpya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ILA hao watasha walipoomba wachunguze mauaji ya Musando government iliwakatalia.WTF
 
Hahahahaa kwamba ungemkata matako yote....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweli wewe ndugu yangu hata Kiswahili chako ni magumashi matupu. Pole sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una IQ ndogo sana, Bahati mbaya sana hauwezi kujua kiingereza full, unajua tu Partially.. Hivo vi arts ulivyosoma sisi tunaona vya kisenge tu, Siku hizi hatupimi chuo kikuu kwa kiingereza Mbumbumbu wewe!
 
Aisee kuna mwanaume kabinjua mgongo kama wale jamaa...
 

Ni wachache wanaweza kukuelewa, malimbukweni wengi wemezoea akili za kwenye movie ambazo huonyesha commando mmoja anapiga kambi ya wanajeshi mia moja akiwa pekee yake. Kawaida huwa tunaonyeshwa jinsi risasi zinamkwepa commando wa movie, yaani muda wote yeye hapigwi, kazi yake kuua tu.

Likija kwenye uhalsia, huwa tofauti sana, lazima mfanye kazi kama timu, huyo mzungu wanayemsema utakuta labda alikua anaishia tu kwenye chumba cha kwanza, anatoka anapigwa mapicha anarudi tena, mapambano yalikua orofa kwa orofa hadi wakafikishana kwenye orofa ya saba ndio mziki ukaisha.
 

Bro embu lete source. maana hizo ni serious allegations.
 
Mimi mwenyewe nimewashangaa sana hawa wenzetu wanavomuabudu mzungu. Yaani mzungu ameteka mawazo yao kupitia movie ambazo ni maigizo tu. Utadhani huyo jamaa mmoja ndiye aliyefanya operation yote akiwa pekee yake kutoka mwanzo hadi mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…