News about a Commando who gave Al-Shabab terrorists a hell of a time inside the Dusit hotel and kill them both

News about a Commando who gave Al-Shabab terrorists a hell of a time inside the Dusit hotel and kill them both

Tuna kazi sana:

Dairly=Daily
namimi= na mimi
matembere=matembele
yakwako=ya kwako
Tafadhari=tafadhali

Naongea na mtu asiejielewa kama hadi Kiswahili lugha yake ya Taifa na lugha ya wazazi na ancestors wake bado anashindwa hata kuandika kwa ufasaha...

Unavyoongea vyote watoto wa Tanzania 98% wamepitia hivyo,na leo wanajua kusoma na kuandika na wanategemewa na taifa sehemu mbalimbali!

Yaani wewe utatumia visingizio vyote na sababu zote kuhalalisha ujinga wako kua ni sahihi!

Wajinga hua hawakosi sababu.

Wote humu at some point tulikua wajinga ila tuliufuta ujinga kwa kutimiza wajibu wetu kwa kupata maarifa!

Ila wewe na mwenzako hapo sasa,ujinga mnasema ni halali!
Mimi sifichi ujinga wangu ndio mana hata pale ambapo sikuelewa niliuliza,

ningekua naficha ujinga wangu ningejiona mwelevu na mjuaji kama wewe

Mna kazi wewe na nani?

Kwanini unapenda kuweka uwingi wakati mimi nazungumza nawewe?

Kwaiyo ulivyonirekebisha hapo juu basi ndio umejiona mjuaaaaaji kumbe kenge tu.

Hapo ni makosa ya kimaandishi na nimekosea kweli na hata wewe unayejiona mjuaji unaweza kukosea pia..

Tokea mwanzo mimi ni mtu nisiyejielewa ndio maana nikauliza pale ambapo sijaelewa

Haya wewe ndugu yangu mwelevu unanisaidiaje badala ya kunipa kejeri na kuonesha dharau juu ya elimu yangu na uelewa wangu..

Karibu tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu elimu haiongezi hekima muheshimu mpumbavu uepukane na balaa maana ataanza kutukana.Amesoma lakini hajaelimika.
 
Alafu unakuta wazazi wako waliuza ng'ombe na mashamba ili wewe usome mpaka chuo kikuuu,

Ili uje kuwasaidia wazazi wako na jamii inayokuzunguka !!!!

matokeo yake jamii ikikuomba msaada wako unaanza kutoka mapovu...!!!!

Hivi vitabu unavyovisoma vinakusaidia nini??

Kuna watu humu hawajui kiingereza lakini kijerumani wanakijua kama wamezaliwa huko!!!!

Kuzarau wenzako wasiojua lugha ya kingereza ni ushogarema zaidi ya yule shoga wa nchi jirani
Ushogarema!!! msamiati mpya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ILA hao watasha walipoomba wachunguze mauaji ya Musando government iliwakatalia.WTF
 
Mpuuzi ni wewe hasa ambae umefanya ambae umetumia Kiingereza kusoma elimu yako kwa miaka yote 14 uliyokua shule.....

...Halafu leo mtu anakuandikia ubeti mdogo tu wa Kiingereza JF unaanza kulia hujui Kiingereza?!!

Nyie ni wa kuchapa makofi kabisa,pumbavu zenu mrudishe ada za wazazi wenu nyang'au nyie!

Mmeenda shule kusomea ujinga?

Vitabu vyote vya maarifa ulisomaje?

Kama vyote ulisoma vyote kwa Kiingereza,na ukafaulu masomo yako,eti leo ubeti wa JF wa Kiingereza unaanza kulalamika hujui Kiingereza?

Hivi mitoto mizembe na mayai kama nyie ndio mnazitia aibu shule za Tanzania!

Jitu zima linakaa na kuanza kutetea ugoigoi wa kutokujua kusoma Kiingereza uliyotumia kupata maarifa kwa miaka 14!

Ungekua mwanangu ningekata hayo matako kabisa,ada yangu ule,unatoka shule hujui kusoma Kiingereza,sijui maarifa ya vitabu unasomaje wewe mwehu?

Ungenirudishia ada yangu kupitia puani!

Sisi wazazi wako ambao hatukusoma,tuliokuelimisha kwa jasho,leo hujui kusoma,ningekumeza mzima mzima!

Punguani nyie!
Hahahahaa kwamba ungemkata matako yote....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sifichi ujinga wangu ndio mana hata pale ambapo sikuelewa niliuliza,

ningekua naficha ujinga wangu ningejiona mwelevu na mjuaji kama wewe

Mna kazi wewe na nani?

Kwanini unapenda kuweka uwingi wakati mimi nazungumza nawewe?

Kwaiyo ulivyonirekebisha hapo juu basi ndio umejiona mjuaaaaaji kumbe kenge tu.

Hapo ni makosa ya kimaandishi na nimekosea kweli na hata wewe unayejiona mjuaji unaweza kukosea pia..

Tokea mwanzo mimi ni mtu nisiyejielewa ndio maana nikauliza pale ambapo sijaelewa

Haya wewe ndugu yangu mwelevu unanisaidiaje badala ya kunipa kejeri na kuonesha dharau juu ya elimu yangu na uelewa wangu..

Karibu tena

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli wewe ndugu yangu hata Kiswahili chako ni magumashi matupu. Pole sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpuuzi ni wewe hasa ambae umefanya ambae umetumia Kiingereza kusoma elimu yako kwa miaka yote 14 uliyokua shule.....

...Halafu leo mtu anakuandikia ubeti mdogo tu wa Kiingereza JF unaanza kulia hujui Kiingereza?!!

Nyie ni wa kuchapa makofi kabisa,pumbavu zenu mrudishe ada za wazazi wenu nyang'au nyie!

Mmeenda shule kusomea ujinga?

Vitabu vyote vya maarifa ulisomaje?

Kama vyote ulisoma vyote kwa Kiingereza,na ukafaulu masomo yako,eti leo ubeti wa JF wa Kiingereza unaanza kulalamika hujui Kiingereza?

Hivi mitoto mizembe na mayai kama nyie ndio mnazitia aibu shule za Tanzania!

Jitu zima linakaa na kuanza kutetea ugoigoi wa kutokujua kusoma Kiingereza uliyotumia kupata maarifa kwa miaka 14!

Ungekua mwanangu ningekata hayo matako kabisa,ada yangu ule,unatoka shule hujui kusoma Kiingereza,sijui maarifa ya vitabu unasomaje wewe mwehu?

Ungenirudishia ada yangu kupitia puani!

Sisi wazazi wako ambao hatukusoma,tuliokuelimisha kwa jasho,leo hujui kusoma,ningekumeza mzima mzima!

Punguani nyie!
Una IQ ndogo sana, Bahati mbaya sana hauwezi kujua kiingereza full, unajua tu Partially.. Hivo vi arts ulivyosoma sisi tunaona vya kisenge tu, Siku hizi hatupimi chuo kikuu kwa kiingereza Mbumbumbu wewe!
 
Thursday January 17, 2019

New details have emerged about the member of the British Special Forces who engaged the five Al Shabaab insurgents that had raided Dusit D2 Hotel and Office Complex on Tuesday afternoon.

The SAS soldier was in Kenya to train Kenya Special Forces but was called in to help when the Al Shabaab militants struck the hotel complex.

“He was training Kenyan forces when the shout went up, so he went in,” said one of his friends.

After getting kitted out, the SAS hero, clutching a Colt Canada C8 assault rifle with a suppressor silencer, single handedly entered the hotel complex and rescued over 34 Kenyans.

His battle gear included a balaclava, body armour, a para claw, a Glock pistol and a stainless steel dagger.

According to sources at the UK Embassy, the man is a long serving member of the British Special Forces and has served in Iraq and Afghanistan as a top counter-terror warfare expert.

“This guy got there quick. I think he was one of the first there. He had a mask on.”

“We could see him talking to the police and army and they listened to him. They were looking at pieces of paper, maybe plans of the building,”

One survivor identified as Bruce Kariuki told a local daily.

(copy and paste from daily news Kenya)

View attachment 997644View attachment 997645

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee kuna mwanaume kabinjua mgongo kama wale jamaa...
 
Wanavyo vikosi trained. Tatizo hamfuatilii vyanzo Vya habari vizuri. Kuna kikosi kinaitwa RECE squad. Hiki ndio kilishiriki kwa sehemu kubwa wakishirikiana na SAS. SAS alikuwa Nairobi on a special mission ya Ku train Kenyan security forces. So ilipotokea ndio allikwenda na kikosi cha well trained Kenyan security forces. It was a coordinated rescue operation between Kenyan security forces na huyo jamaa mmoja kutoka SAS. Kazi kubwa walifanya RECE squad.

Ni wachache wanaweza kukuelewa, malimbukweni wengi wemezoea akili za kwenye movie ambazo huonyesha commando mmoja anapiga kambi ya wanajeshi mia moja akiwa pekee yake. Kawaida huwa tunaonyeshwa jinsi risasi zinamkwepa commando wa movie, yaani muda wote yeye hapigwi, kazi yake kuua tu.

Likija kwenye uhalsia, huwa tofauti sana, lazima mfanye kazi kama timu, huyo mzungu wanayemsema utakuta labda alikua anaishia tu kwenye chumba cha kwanza, anatoka anapigwa mapicha anarudi tena, mapambano yalikua orofa kwa orofa hadi wakafikishana kwenye orofa ya saba ndio mziki ukaisha.
 
harakati za ukombozi wa south zilikuwa zinapangiwa tz huku mwalimu akiwapa kila kitu kuanzia msosi ,mafunzo,silaha na mbinu japo palikuwa na support ya wajamaa sasa hyo habari ya kuwa tz inawapa support wavaa kobazi imetangazwa na muandishi wa TVT(tbc) ya huko

Sent using Jamii Forums mobile app

Bro embu lete source. maana hizo ni serious allegations.
 
Ni wachache wanaweza kukuelewa, malimbukweni wengi wemezoea akili za kwenye movie ambazo huonyesha commando mmoja anapiga kambi ya wanajeshi mia moja akiwa pekee yake. Kawaida huwa tunaonyeshwa jinsi risasi zinamkwepa commando wa movie, yaani muda wote yeye hapigwi, kazi yake kuua tu.

Likija kwenye uhalsia, huwa tofauti sana, lazima mfanye kazi kama timu, huyo mzungu wanayemsema utakuta labda alikua anaishia tu kwenye chumba cha kwanza, anatoka anapigwa mapicha anarudi tena, mapambano yalikua orofa kwa orofa hadi wakafikishana kwenye orofa ya saba ndio mziki ukaisha.
Mimi mwenyewe nimewashangaa sana hawa wenzetu wanavomuabudu mzungu. Yaani mzungu ameteka mawazo yao kupitia movie ambazo ni maigizo tu. Utadhani huyo jamaa mmoja ndiye aliyefanya operation yote akiwa pekee yake kutoka mwanzo hadi mwisho.
 
Back
Top Bottom