News about a Commando who gave Al-Shabab terrorists a hell of a time inside the Dusit hotel and kill them both

Jackline.....

Tuseme na wewe upo kwenye list ya watu wasiojua kusoma Kiingereza?

I remember,kipindi sisi tunasoma wazazi wetu walikua wanatupa gazeti la Daily News na Guardian usome kwa usahihi na kwa sauti!

Punctuations zote,proper diction,vituo,alama za kuuliza,etc kwa usahihi,ukikosea unachapwa...

Sasa sijui Jackline kama huu ubeti umekushinda,hivi unaweza soma gazeti mfano Daily News kweli?

Na kama huwezi,hivi lawama ni kwa nani hasa?

Halafu hivi ni sifa mtu kutokujua kusoma na anasema wazi kabisa bila haya?

Aisee,huyu Ndalichako ana kazi kabisa!

Hasa hasa nawaonea huruma wazazi wako,zaidi ni familia yako utakayojenga,watoto wako watakua wazembe namna hiii hii,

Na wewe kama mama yao utakenua mimeno,halafu mwisho wa siku tunalalamikia CCM!

Wengine tumejisomesha wenyewe kwa kuuza kuni na kununua madaftari,
nyumbani kibatali,
mchana ugali tembere bila chumvi..

Unajilea mwenyewe yani hela ya kununua chumvi huna,
Je ya kununua gazeti la deire niuzi unapata wapi?

Wengine kijijini kwetu hakukuwa na magazeti wala tv..
Wengine walezi wetu hawakujua kusoma wala kuandika

Ukifikisha darasa la tano unashukuru,unaacha shule unaendelea kulea wadogo zako...

Mana baba analala kilabuni mama analala kilabuni

Shuleni tulifika kwa uwezo wa roho mtakatifu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii inaitwa make them see you are full package. Hollywood standards movie.

Yaani yeye: door to door, corner to corner ameua one after another! no attack back to him pamoja na uwepo wa yule aliyejilipua mwenyewe asijilipue wafe wote! na amewatambua bila kukosea any way good job.
 
Kwani komenti yake alivyouliza aliambatanisha na cheti chake cha chuo Mkuu? sio wote humu wamefika chuo, Type za kina king msukuma Tuwasaidie; Kiingereza siyo issue

Hujui kusoma,wewe mtu au mfu?

Halafu unaona sifa kabisa?

Na watoto wako hutataka wajue kusoma na kuandika?

Nyie ndio mnarudisha gurudumu la hii nchi nyuma,na ndio maana wengi wa type yako mpo CCM!

Ndio maana nchi yetu inakua ya mwisho kila siku maana wasiojua kusoma na kuandika ndipo mpo in charge!

No wonder we are a banana republic!
 
Kwani hawana vikosi vya kupambana na magaidi mpaka waitwe SAS?
Umeshaambiwa alikuwa aki wa train wana usalama wakenya. So lilipo tokea tukio kwasababu alikuwa huko, hakuona shida kusaidia
 
Jackline.....

Tuseme na wewe upo kwenye list ya watu wasiojua kusoma Kiingereza?

I remember,kipindi sisi tunasoma wazazi wetu walikua wanatupa gazeti la Daily News na Guardian usome kwa usahihi na kwa sauti!

Punctuations zote,proper diction,vituo,alama za kuuliza,etc kwa usahihi,ukikosea unachapwa...

Sasa sijui Jackline kama huu ubeti umekushinda,hivi unaweza soma gazeti mfano Daily News kweli?

Na kama huwezi,hivi lawama ni kwa nani hasa?

Halafu hivi ni sifa mtu kutokujua kusoma na anasema wazi kabisa bila haya?

Aisee,huyu Ndalichako ana kazi kabisa!

Hasa hasa nawaonea huruma wazazi wako,zaidi ni familia yako utakayojenga,watoto wako watakua wazembe namna hiii hii,

Na wewe kama mama yao utakenua mimeno,halafu mwisho wa siku tunalalamikia CCM!
Daaah poor me!
"Nawahurumia zaidi wazazi wako"
"Familia yako utakayojenga"
"Watoto wako watakuwa wazembe"
"mama utakeua mimeo"
Asnt mkuu
 
Wengine tumejisomesha wenyewe kwa kuuza kuni na kununua madaftari,
nyumbani kibatali,
mchana ugali tembere bila chumvi..

Unajilea mwenyewe yani hela ya kununua chumvi huna,
Je ya kununua gazeti la deire niuzi unapata wapi?

Wengine kijijini kwetu hakukuwa na magazeti wala tv..
Wengine walezi wetu hawakujua kusoma wala kuandika

Ukifikisha darasa la tano unashukuru,unaacha shule unaendelea kulea wadogo zako...

Mana baba analala kilabuni mama analala kilabuni

Shuleni tulifika kwa uwezo wa roho mtakatifu

Sent using Jamii Forums mobile app
Bora useme wewe ndugu yng,maana mpk nimekuwa speechless😞😞😞
 
wanavyo lkn havina uwezo wa kupambana na matukio kama hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanavyo vikosi trained. Tatizo hamfuatilii vyanzo Vya habari vizuri. Kuna kikosi kinaitwa RECE squad. Hiki ndio kilishiriki kwa sehemu kubwa wakishirikiana na SAS. SAS alikuwa Nairobi on a special mission ya Ku train Kenyan security forces. So ilipotokea ndio allikwenda na kikosi cha well trained Kenyan security forces. It was a coordinated rescue operation between Kenyan security forces na huyo jamaa mmoja kutoka SAS. Kazi kubwa walifanya RECE squad.
 
Jackline.....

Tuseme na wewe upo kwenye list ya watu wasiojua kusoma Kiingereza?

I remember,kipindi sisi tunasoma wazazi wetu walikua wanatupa gazeti la Daily News na Guardian usome kwa usahihi na kwa sauti!

Punctuations zote,proper diction,vituo,alama za kuuliza,etc kwa usahihi,ukikosea unachapwa...

Sasa sijui Jackline kama huu ubeti umekushinda,hivi unaweza soma gazeti mfano Daily News kweli?

Na kama huwezi,hivi lawama ni kwa nani hasa?

Halafu hivi ni sifa mtu kutokujua kusoma na anasema wazi kabisa bila haya?

Aisee,huyu Ndalichako ana kazi kabisa!

Hasa hasa nawaonea huruma wazazi wako,zaidi ni familia yako utakayojenga,watoto wako watakua wazembe namna hiii hii,

Na wewe kama mama yao utakenua mimeno,halafu mwisho wa siku tunalalamikia CCM!
Gwele njoo uone dada ako nimepewa vidonge vyangu kisa sijui kusoma kienglish
 
Wengine tumejisomesha wenyewe kwa kuuza kuni na kununua madaftari,
nyumbani kibatali,
mchana ugali tembere bila chumvi..

Unajilea mwenyewe yani hela ya kununua chumvi huna,
Je ya kununua gazeti la deire niuzi unapata wapi?

Wengine kijijini kwetu hakukuwa na magazeti wala tv..
Wengine walezi wetu hawakujua kusoma wala kuandika

Shuleni tulifika kwa uwezo wa roho mtakatifu

Sent using Jamii Forums mobile app

Maana sisi wengine ndio hatujasoma kwa kibatari?

Hivi mbona mnajenga visingizio vya kipumbavu namna hii?

Umeme ulikua ni 11% tu ya nyumba nchi nzima ndio zilikua nao..

Asilimia 90% ya nyumba TZ hazina umeme wewe mwehu!

TV ni even smaller percentage..

Na nani kakwambia TV ndio inafundisha watu kusoma Kiingereza?

Kiingereza umesoma darasani,ulivyo mzembe leo hujui kusoma wala kuandika!

Unataka tukupigie makofi wewe ni shujaa wa kua mjinga!

Basi sawa....sera mpya hii!
 
Naongea nawewe ambaye ulikua ukitoka shule unakutana na magazeti ya dairly news nyumbani na wazazi wako walikua wanakuhimiza kusoma..

Ongea namimi niliekua nikitoka shule nazunguka nyuma ya nyumba au kwa jirani kuiba matembere napika ugali nakula..

Kisha naenda porini kutafuta mbuzi zilipo nizirudishe nyumbani

Tafadhari ndugu yangu usiwaite wenzako mje kunipiga makofi yakwako yanatosha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii inaitwa make them see you are full package. Hollywood standards

Yaani yeye: door to door, corner to corner ameua one after another! no attack back to him pamoja na uwepo wa yule aliyejilipua mwenyewe asijilipue wafe wote! na amewatambua bila kukosea any way good job.
Yeye pekee aliua alshabab wawili
Huyo jamaa anastahili pongezi kwa ujasiri aliouonyesha kukabiliani na hao wakora wauaji wenye laana.
 
Wanavyo vikosi trained. Tatizo hamfuatilii vyanzo Vya habari vizuri. Kuna kikosi kinaitwa RECE squad. Hiki ndio kilishiriki kwa sehemu kubwa wakishirikiana na SAS. SAS alikuwa Nairobi on a special mission ya Ku train Kenyan security forces. So ilipotokea ndio allikwenda na kikosi cha well trained Kenyan security forces. It was a coordinated rescue operation between Kenyan security forces na huyo jamaa mmoja kutoka SAS. Kazi kubwa walifanya RECE squad.
hivi unajua kuwa ubora wa special force unategemea saana teknolojia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naongea nawewe ambaye ulikua ukitoka shule unakutana na magazeti ya dairly news nyumbani na wazazi wako walikua wanakuhimiza kusoma..

Ongea namimi niliekua nikitoka shule nazunguka nyuma ya nyumba au kwa jirani kuiba matembere napika ugali nakula..

Kisha naenda porini kutafuta mbuzi zilipo nizirudishe nyumbani

Tafadhari ndugu yangu usiwaite wenzako mje kunipiga makofi yakwako yanatosha sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Tuna kazi sana:

Dairly=Daily
namimi= na mimi
matembere=matembele
yakwako=ya kwako
Tafadhari=tafadhali

Naongea na mtu asiejielewa kama hadi Kiswahili lugha yake ya Taifa na lugha ya wazazi na ancestors wake bado anashindwa hata kuandika kwa ufasaha...

Unavyoongea vyote watoto wa Tanzania 98% wamepitia hivyo,na leo wanajua kusoma na kuandika na wanategemewa na taifa sehemu mbalimbali!

Yaani wewe utatumia visingizio vyote na sababu zote kuhalalisha ujinga wako kua ni sahihi!

Wajinga hua hawakosi sababu.

Wote humu at some point tulikua wajinga ila tuliufuta ujinga kwa kutimiza wajibu wetu kwa kupata maarifa!

Ila wewe na mwenzako hapo sasa,ujinga mnasema ni halali!
 
Kwenye hiyo picha ya pili mwenye shati jeupe nae pia yuko vizuri anaitwa Kassam..inasemwa hata lile tukio la Westgate alishiriki kuokoa.
 
Darasa la saba ni below 18 years old,huruhusiwi kuwa humu!

Hivi unasoma Terms and Conditions wakati unajiunga JF kweli?

Au na wewe ndio hujui kusoma Kiingereza?

Halafu mnataka tuwape medali kwa kutokujua kusoma na kuandika?

Imagine baba au mama yako aliekulipia ada anakuta eti unalalamika hujui kusoma!

Hivi sijui sisi ni kizazi gani!
Bradha mwanangu ni darasa la saba na expert humu.kwani huo umri anajaza nani.
 
Darasa la saba ni below 18 years old,huruhusiwi kuwa humu!

Hivi unasoma Terms and Conditions wakati unajiunga JF kweli?

Au na wewe ndio hujui kusoma Kiingereza?

Halafu mnataka tuwape medali kwa kutokujua kusoma na kuandika?

Imagine baba au mama yako aliekulipia ada anakuta eti unalalamika hujui kusoma!

Hivi sijui sisi ni kizazi gani!
Darasa la saba ni elimu,mtu wa miaka hamsini anaweza kuwa darasa la saba ficha upumbavu na ubinafsi wako.
 
Back
Top Bottom