Jamani wanajamvi wenzangu hivi kwanini hizi ajira mpya za walimu hazitoki?kila mtu anasema lake analojua,mara kesho,mara wiki ijayo....na hizo siku zinafika hakuna jipya.JAMANI KAMA KUNA MTU MWENYE TAARIFA KUTOKA CHANZO KINACHOAMINIKA ATUJULISHE KUWA NINI KINAENDELEA HUKO JIKONI.
hakuna mwenye uhakika humu ndan wote wanagues binafsi ikifika tar 20 ajira bado napotezea naanza mishe zangu nyingine.
Kweli mkuu,mfano mm nimemwambia mwajiri wangu(private school) kuwa sitaongeza mkataba tena ambao unaishia mwezi huu wa pili.Sasa nahisi kama hizi posts hazitatoka mwezi huu na hivyo kunipotezea mwelekeo.Kwakweli hawa jamaa wanadumaza na kupoteza malengo ya watu.ILA MIMI NAONA MPANGO NI KWENDA KWENYE WIZARA HUSIKA WATUAMBIE MOJA KUWA WANATOA HIZO POST AU LA.Wizara hata kama haina pesa irushe majina kwenye mtandao kisha irefushe muda wa kuripoti hata kama ni April 2014 si tatizo. Kusubiri bila kujua kama jina lako limo au la ni risk. Bora majina yarushwe, asie kuwemo ajipange mapema cha kufanya, ikiwa bado shule binafsi zinapokea walimu. Kuendelea kukaa kimya kwa wizara kunaleta matatizo kwa walimu watarajiwa katika hatma ya maisha yao.
Polen jaman dah wamewazingua sana na hili bunge lå katiba ase....mmh posho zao tuu kichwa kinawaka moto mjipe moyo lakin watawatoa as soon as wakiamua
usenge huu bora waseme hakuna ajira
Bwana hacha matuc c vema kuwatus viongozi wetu
Kweli mkuu,mfano mm nimemwambia mwajiri wangu(private school) kuwa sitaongeza mkataba tena ambao unaishia mwezi huu wa pili.Sasa nahisi kama hizi posts hazitatoka mwezi huu na hivyo kunipotezea mwelekeo.Kwakweli hawa jamaa wanadumaza na kupoteza malengo ya watu.ILA MIMI NAONA MPANGO NI KWENDA KWENYE WIZARA HUSIKA WATUAMBIE MOJA KUWA WANATOA HIZO POST AU LA.
Kweli kaka jamaa hapo juu hajatumia hekima. Japo anaweza kuwa na hasira lakini kwa mwalimu kutoa kauli kama hiyo sio sawa. Tambua ulilenga kufikisha ujumbe kwa wahusika wa ajira sasa waziri akisoma akakutana na tusi kama hilo inaleta shida kutafakali aina ya mwalimu mtarajiwa.