Jamani wanajamvi wenzangu hivi kwanini hizi ajira mpya za walimu hazitoki?kila mtu anasema lake analojua,mara kesho,mara wiki ijayo....na hizo siku zinafika hakuna jipya.JAMANI KAMA KUNA MTU MWENYE TAARIFA KUTOKA CHANZO KINACHOAMINIKA ATUJULISHE KUWA NINI KINAENDELEA HUKO JIKONI.