Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,497
- 3,823
Nadhani ulipaswa kumwambia aliyetukana na si mimi.....nilichofanya mimi ni kuinukuu tu ile taarifa.
ILA TZ WAALIMU WANATHULUMIWA SANA. Serikali ikikosa pesa, inaenda kuzuia mshahara wa mwalimu. Ona sasa pesa zenu zinagharamikia bunge la katiba. Ikifika kufanya referendum mtalipia lazima. Mwalimu anachukuliwa kama kiumbe dhaifu wakati ndo msingi mkubwa katika kumwondolea mtoto wa mtanzania umbulula na kumtilia maarifa chanya. Poleni waungwana. VUMILIENI. Hiyo ni nchi yenu. Mtakimbia au? Haitosaidia. Subira yavuta heri.
Nimejifarijiii weee!Lakin leo ndio nimekubali kwamba inawezekana kweli ajira ni JULY. kwani hata waliopo wizarani hutoa habar za uongo! a'm too despared u guyz! hasira zangu zote ntazipeleka kwa wanafunzi!