News:AJIRA ZA WALIMU....

News:AJIRA ZA WALIMU....

Nimejifarijiii weee!Lakin leo ndio nimekubali kwamba inawezekana kweli ajira ni JULY. kwani hata waliopo wizarani hutoa habar za uongo! a'm too despared u guyz! hasira zangu zote ntazipeleka kwa wanafunzi!
 
Nadhani ulipaswa kumwambia aliyetukana na si mimi.....nilichofanya mimi ni kuinukuu tu ile taarifa.

mcubc ndugu yangu. Nisamehe. Nilidhani nimemjibu mwenye aliyetukana. Pole sana lakini ujumbe atakuwa ameuona. Pamoja ndugu.
 
ILA TZ WAALIMU WANATHULUMIWA SANA. Serikali ikikosa pesa, inaenda kuzuia mshahara wa mwalimu. Ona sasa pesa zenu zinagharamikia bunge la katiba. Ikifika kufanya referendum mtalipia lazima. Mwalimu anachukuliwa kama kiumbe dhaifu wakati ndo msingi mkubwa katika kumwondolea mtoto wa mtanzania umbulula na kumtilia maarifa chanya. Poleni waungwana. VUMILIENI. Hiyo ni nchi yenu. Mtakimbia au? Haitosaidia. Subira yavuta heri.
 
tunashukuru mkuu! kwa kutufariji kipndi kigumu kama hiki!
 
Kaka ile fiksi yako ilikua kali,ivi kwa akil yko unafkr kila mtu kakopa?aliepata asilimia zero kama mimi unadaiwa pia meals and accomodation na stationary kama mil 5 ivi
Nimejifarijiii weee!Lakin leo ndio nimekubali kwamba inawezekana kweli ajira ni JULY. kwani hata waliopo wizarani hutoa habar za uongo! a'm too despared u guyz! hasira zangu zote ntazipeleka kwa wanafunzi!
 
Chipukizi unaisha Tanzania au somaliland? Inaonekana hujui kit kabsa jinsi budjet inavotengwa.
Dogo usijipe Matumaini yasiyokuwepo karibu kijijini tushike jembe,kwani kilimo akimtupi mtu kaka,achana na ndoto kuwa ajira zitatoka kesho,hiyo aipo
 
Back
Top Bottom