- Thread starter
- #21
hivi itafika mpaka lini? tuambiane ukweli siyo kubebana kwani waziri ni MUNGU au malaika,hata wao ni hawafai 2,wapo kama vivuli 2 hakuna lolote, kama wanajua umuhimu siwange wa ajiri walimu,ina bakia KASSIMU MAJALIWA na MH JK, kudanganya walimu kwamba ifikapo january 2014 watawaajiri walimu? na mpaka sasa hakuna lolote,
Wanapoitwa mawaziri mizigo wanakataa,sasa huu ni utaratibu gani wakushindwa kutimiza wajibu wao.Mimi naungana na baadhi ya wanasiasa waliosema ''Mawaziri Mizigo wamerudi tena.''