News alert Jeshi la Israel lafanya mashambulizi makubwa nchini Lebanon na kuua watu 51 huku 174 wakijeruhiwa

News alert Jeshi la Israel lafanya mashambulizi makubwa nchini Lebanon na kuua watu 51 huku 174 wakijeruhiwa

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106

Wadau hamjamboni nyote?​

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:​

BBCIsraeli strikes killed 51 on Sunday, Lebanese health ministry says published at 07:46 British Summer Time
07:46 BST​


The Lebanese health ministry says 51 people were killed across the country on Sunday by Israeli air strikes. Another 174 were injured, the ministry adds.

Twenty-two of those killed were in the Mount Lebanon region, in the north of the country, while 10 people were killed in Israeli strikes in the southern Nabatieh region.

Five others were killed and one wounded in a raid on the village of Maifadoun, west of Beaufort Castle.
 
Tangu Israel alipoambiwa na Mungu kuwa, atakapoingia katila nchi apewayo na Bwana, akafagie kila kitu, la hakufanya hivo, basi wale watu wataluwa mwiba kwake

Kila akikumbuka neno hilo, basi akianzaga kushambulia mahali, hajui kuchagua wa kuuwa

Mtoto piga galagaza, mlemavu sawa, mabinti na vijana sawa, wazee fagia, viongozi wa nchi, twende kazi, ili mradi tu bomu limeelekezwa panapo watu

Kinachobaki ni juu yako wewe unayeshughurikiwa
 
We uzalendo w kitz,, habari zako za upande mmoja mbona utupii uzi Israel wakinyukwa au we msemaji wa Israel tu,, kama ally kamwe na ahmed ubaya ubwela mana atuoni kuongolea kipigo cha Israel.
 
Tujue tu we semaji la I D F Africa mashariki n kati mana yeye na hezbollah tu uwe na aibu kidogo😂😂😂
 
Jana tu mnajisifu Leo mnalia jifunzeni subira na muombee amani Kwa wote
Kuua raia it's so easy kuliko kuua kundi la wanajeshi wa Israel wakiwa sehemu ya kulia chakula.

Hapo mmoja anaonekana ni anafata sheria za kivita na haki za binadam ila mwengine he doesn't give a f*ck.

Kwako wewe ni nani ambae yupo sahihi.
 
Na bahari mbaya kwa wakristu wa jf, sehemu waliyopiga ni ya wakristu wengi
 
Back
Top Bottom