sijui hiyo ndoa inaendeleaje
Ooohh mke huyohuyo ama mwingine?
We ni member nini?
nashangaa kwanini hujanitaja wakati mm nina benki ya kitalii kule Arusha, ninamiliki matorori manne, ninamiliki kioski cha kuuzia kahawa hapo shinyanga sasa nakushangaa kwanini Chimbuvu kunifanyia hivyo wakati mm naongoza hapa jf
weweee Chipumbu mimi sijawahi kusaini mkataba wa kuajiriwa maisha yangu,nasainisha watu ninaowaajiri.We mwenyewe mshahara wako ni mia 2 kwa mwaka
weweee Chipumbu mimi sijawahi kusaini mkataba wa kuajiriwa maisha yangu,nasainisha watu ninaowaajiri.
weweee Chipumbu mimi sijawahi kusaini mkataba wa kuajiriwa maisha yangu,nasainisha watu ninaowaajiri.
Usifurahi juu yangu,eeeh adui yangu,niangukapo miimi nitasimama tena!
Kuanguka sio tatizo,ila kukataa kusimama na kuwa chini ndio tatizo