News alert; mabilionea wa jf chitchat

News alert; mabilionea wa jf chitchat

Kesi zote ziwasilishwe kwa Baba V kabla ya jumatatu asubuhi ofisini kwake.

Hapa nawadai walionipa talaka nina mikakati ya kuvuna bila kulima nahisi kuwa milionea.
 
Last edited by a moderator:
We Chimbuvu zote ziko service nazifanyia ukarabati ili zikiingia sokoni ziwe bomba
Heaven on earth hii ilikuwa siri yako mbona unaisema wakati wewe ulinikuta garage kimya kimya
 
Last edited by a moderator:
nashangaa kwanini hujanitaja wakati mm nina benki ya kitalii kule Arusha, ninamiliki matorori manne, ninamiliki kioski cha kuuzia kahawa hapo shinyanga sasa nakushangaa kwanini Chimbuvu kunifanyia hivyo wakati mm naongoza hapa jf
 
Last edited by a moderator:
Turnover yako haijafika 10,000tshs kwa mwaka.

nashangaa kwanini hujanitaja wakati mm nina benki ya kitalii kule Arusha, ninamiliki matorori manne, ninamiliki kioski cha kuuzia kahawa hapo shinyanga sasa nakushangaa kwanini Chimbuvu kunifanyia hivyo wakati mm naongoza hapa jf
 
Last edited by a moderator:
wote uliowataja utajiri wao haulingani na muosha gari langu.
 
Bado mapato yako hayajafikia elfu 5 kwa mwaka,ama turnover yako ni less than 5000 per year kwa hiyo hustahili kuwa katika list na kufanyiwa auditing

weweee Chipumbu mimi sijawahi kusaini mkataba wa kuajiriwa maisha yangu,nasainisha watu ninaowaajiri.
 
Halafu wee Chimbuvu si nilisha kufilisi wewe?, huo ubilionea umeupata wapi tena wakati hata miatano ya vocha ulikuwa unaomba kwa Bishanga?
 
Last edited by a moderator:
Usifurahi juu yangu,eeeh adui yangu,niangukapo miimi nitasimama tena!
Kuanguka sio tatizo,ila kukataa kusimama na kuwa chini ndio tatizo

Halafu wee Chimbuvu si nilisha kufilisi wewe?, huo ubilionea umeupata wapi tena wakati hata miatano ya vocha ulikuwa unaomba kwa Bishanga?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom