NEWS ALERT; Orodha ya mabilionea wa JF yatoka

amu umenifikiriaje hadi kuhisi naweza fanya ujinga wa namna hii ? Mie na mimisa ni mtu mmoja?
Umenikera sana ndugu kwakua nakuheshimu nitaendelea kukuheshimu
 
Last edited by a moderator:
yaani Chimbuvu, mimi na viwanda vyote na wanawake wote ninao miliki nimekosa hata namba ya 100?. mi
 
Last edited by a moderator:
amu umenifikiriaje hadi kuhisi naweza fanya ujinga wa namna hii ? Mie na mimisa ni mtu mmoja?
Umenikera sana ndugu kwakua nakuheshimu nitaendelea kukuheshimu

kwani ndoa au wapenzi hawawi mtu mmoja???umeenda mbali ujue hata sikuwa huko
 
Last edited by a moderator:
nahisi alimaanisha tu mwili mmoja..(rmbr vows wanazopeana wanandoa zile)..
amu umenifikiriaje hadi kuhisi naweza fanya ujinga wa namna hii ? Mie na mimisa ni mtu mmoja?
Umenikera sana ndugu kwakua nakuheshimu nitaendelea kukuheshimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…