NEWS ALERT; Orodha ya mabilionea wa JF yatoka

NEWS ALERT; Orodha ya mabilionea wa JF yatoka

Halafu Baba V anahusishwa na kashfa ya Odinga kule kisumu.. Utajiri wake ni wa utata.. Naomba TRA wamchunguze...

Hivi kweli na mi siwezi kutokelezea kwen hii orodha? Chinbuvu "toweli nini"?
 
Last edited by a moderator:
efuuuuuuuuu!!!
number 13.age 19
Chimbuvu nakata rufaa.mama yangu sikubali.mama yangu Mamndenyi njoo utoe usahihi wa umri wangu.ntawekewaje umri wa mdogo wangu Remmy ?
 
Last edited by a moderator:
Hivi kweli na mi siwezi kutokelezea kwen hii orodha? Chinbuvu "toweli nini"?

Kaizer karibia wote kwenye list hii wana utajiri wa mashaka.. Umesikia wengine wako vizuizini.. Mie mwenye utajiri wa transaksheni za kihalali simo humu..
 
Last edited by a moderator:
Ulipewa ATC ikafilisika

Kaizer karibia wote kwenye list hii wana utajiri wa mashaka.. Umesikia wengine wako vizuizini.. Mie mwenye utajiri wa transaksheni za kihalali simo humu..
 
Last edited by a moderator:
name; Judgement
wealth; 70,000/-tshs
source; udaku special zone consultants
age;32
position;14

name; Arushaone
wealth;60,000/-tshs
source;president of chitchat
age;35
position;15

name; Donn
wealth;50,000/-tss
source; technology
marital;single
age:22
position;16[/QUOTE]

My wife to be YNNAH sasa ukuje ukule hii mapesa!
Hata rival wangu niko juu yake! Si umeona?
Come this way! Japokua hii siri sikufikiria uijue kwa sasa!
But potelea mbali! Utajiri haufichiki ujue!
 
Last edited by a moderator:
Ila huyo muhaya aliye position 1 tukimainaz na alivyotuzulumu anadrop hadi pozisheni 10 na ushee!
 
Back
Top Bottom