NEWS ALERT; Orodha ya mabilionea wa JF yatoka

NEWS ALERT; Orodha ya mabilionea wa JF yatoka

umesahau watasema tena nyuma geuka unabaki kukumbatia namba yako utangoja sana

Ingawa nitangoja sana hilo ombi langu litokee, likitokea nawe utangoja sana bibie. Afu nipm namba yako ya fone, Bishanga asijue.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha Arushaone.. Nasikia ulitaka kumtapeli Bishanga na Tanzanite fake ukishirikiana na mume mwenzio Baba V mkaswekwa lupango..

Bishanga alinusurika ila ngoja nicheki nyuzi kwenye lile gazet la udaku kopi TANMO
 
Last edited by a moderator:
Hiyo orodha sijaikubali. Hata me sipo

tena usitaje tunamiliki shilingi ngapi....kila party wataomba michango...usitaje my wife...ipo siku tutamwaga mihela yetu humu....waambie naenda parisi kunyoa ndevu

copy:Arabela my wife
 
Mfanyage upembuzi yakinifu kwanza
Mimi na miliki mgodi eti sipo ktk orodha wakati uliwowataja ndo wafanyakazi wangu
 
Enyi mabilionea wa jf cc, nahitaji mkopo asap!
 
Back
Top Bottom