27,000tshs
ndo maana simuachii Bishanga tena nampango nikamrogeeeee aniupgrade kabisa niwe nyumba ndogo halali,
The secretary kuja pande hii uone yule aliekununulia Harrier na anaekujengea nyumba na ambae ulimpa limbwata anavyokusaliti kwa Ami..
cc: Bishanga..
Mabilionea wa umbea
Point of correction, watu8 ana three daughter charminglady, sweetlady na WiseLady ,afu mie sikwenda jela kwa sababu ya pembe za ndovu ila ni hujuma za mume wa King'asti nahisi walishirikiana na mume wa ummu kulthum
Judgement suala ni pale watakaposema "nyuma geuka, mbele tembea." Nitajikuta mimi ndio namba moja nawe namba mbili.
umri wa bishanga umejumlisha na wa mke wake au?lol
Thubutu yako