Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika mkuu.Goood news kwa yanga yetu
View attachment 550245
Kipa kinda Ramadhani Kabwili amesaini mkataba wa miaka mitano kuichezea Yanga.
Kabwili ambaye aling’ara na timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys anaingia kwenye kundi la makipa watatu wa Yanga.
Umeonaee. Hatuna kelele sie mwisho wa siku ubingwa unarudi jangwani daah.Yanga kimyakimya kama wanamfukuza mwizi vile.safi sana Mkwasa. Huyu dogo yupo vizuri sana
Sent using Jamii Forums mobile app
MmhhHizo Pua zilivyojitokeza hivyo utadhani Kifaru kaona Kitoweo ataweza kweli Kudaka huyu? Wana Yanga FC wenzangu hivi ni kwanini Sisi usajili wetu huu tulioufanya ni wa ' Kingumbaru / Kijinga ' sana? Kwa huyu Golikipa Wana Yanga FC wenzangu tumesajili ' taulo ' tu la kukaa pale golini na tusiombe siku na sisi tuwaige Simba SC siku ile walipocheza na Sisi na wakampanga Kipa wao Yule mdogo Manyika Jr kwani tunaweza hata kufungwa magoli 23.
Wana Yanga FC wenzangu tusikubali sajili hizi mbovu mbovu kama vipi tuandamane hadi kwa Sanga au Mkwasa.
Tulia dawa ikuingie wewe.....!Hizo Pua zilivyojitokeza hivyo utadhani Kifaru kaona Kitoweo ataweza kweli Kudaka huyu? Wana Yanga FC wenzangu hivi ni kwanini Sisi usajili wetu huu tulioufanya ni wa ' Kingumbaru / Kijinga ' sana? Kwa huyu Golikipa Wana Yanga FC wenzangu tumesajili ' taulo ' tu la kukaa pale golini na tusiombe siku na sisi tuwaige Simba SC siku ile walipocheza na Sisi na wakampanga Kipa wao Yule mdogo Manyika Jr kwani tunaweza hata kufungwa magoli 23.
Wana Yanga FC wenzangu tusikubali sajili hizi mbovu mbovu kama vipi tuandamane hadi kwa Sanga au Mkwasa.
Anajifanya ndumilakuwili. Khaaa.Tulia dawa ikuingie wewe.....!
Haters gonna hate [emoji56][emoji56]Hakika mkuu.
sindano ya tetenasi imekuingia hakikaHizo Pua zilivyojitokeza hivyo utadhani Kifaru kaona Kitoweo ataweza kweli Kudaka huyu? Wana Yanga FC wenzangu hivi ni kwanini Sisi usajili wetu huu tulioufanya ni wa ' Kingumbaru / Kijinga ' sana? Kwa huyu Golikipa Wana Yanga FC wenzangu tumesajili ' taulo ' tu la kukaa pale golini na tusiombe siku na sisi tuwaige Simba SC siku ile walipocheza na Sisi na wakampanga Kipa wao Yule mdogo Manyika Jr kwani tunaweza hata kufungwa magoli 23.
Wana Yanga FC wenzangu tusikubali sajili hizi mbovu mbovu kama vipi tuandamane hadi kwa Sanga au Mkwasa.
Hawakukosea kuwaita mbumbumbuHizo Pua zilivyojitokeza hivyo utadhani Kifaru kaona Kitoweo ataweza kweli Kudaka huyu? Wana Yanga FC wenzangu hivi ni kwanini Sisi usajili wetu huu tulioufanya ni wa ' Kingumbaru / Kijinga ' sana? Kwa huyu Golikipa Wana Yanga FC wenzangu tumesajili ' taulo ' tu la kukaa pale golini na tusiombe siku na sisi tuwaige Simba SC siku ile walipocheza na Sisi na wakampanga Kipa wao Yule mdogo Manyika Jr kwani tunaweza hata kufungwa magoli 23.
Wana Yanga FC wenzangu tusikubali sajili hizi mbovu mbovu kama vipi tuandamane hadi kwa Sanga au Mkwasa.
Yanga wamefanya uwekezaji wa muda mrefu na watapata faida yake, ila mchezaji ni vigumu kunufaika kimaslahi lakini kwa umri wake kwa klabu kama Yanga atapata uzoefu bora kabisa na thamani yake itapanda maradufu baada ya hiyo miaka mitano kama atajitambua.Nahisi atakuwa mchezaji wa kwanza kusajiri muda mrefu wa miaka mitano
Sent using Jamii Forums mobile app