News:Kipa wa Serengeti boys Ramadhani Kabwili asaini Yanga miaka mitano!!

Wonderful

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2015
Posts
7,347
Reaction score
5,986
C__Data_Users_DefApps_AppData_INTERNETEXPLORER_Temp_Saved Images_kabwili-salehjembe.jpg

Kipa kinda Ramadhani Kabwili amesaini mkataba wa miaka mitano kuichezea Yanga.

Kabwili ambaye aling’ara na timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys anaingia kwenye kundi la makipa watatu wa Yanga.
 
View attachment 550245
Kipa kinda Ramadhani Kabwili amesaini mkataba wa miaka mitano kuichezea Yanga.

Kabwili ambaye aling’ara na timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys anaingia kwenye kundi la makipa watatu wa Yanga.

Hizo Pua zilivyojitokeza hivyo utadhani Kifaru kaona Kitoweo ataweza kweli Kudaka huyu? Wana Yanga FC wenzangu hivi ni kwanini Sisi usajili wetu huu tulioufanya ni wa ' Kingumbaru / Kijinga ' sana? Kwa huyu Golikipa Wana Yanga FC wenzangu tumesajili ' taulo ' tu la kukaa pale golini na tusiombe siku na sisi tuwaige Simba SC siku ile walipocheza na Sisi na wakampanga Kipa wao Yule mdogo Manyika Jr kwani tunaweza hata kufungwa magoli 23.

Wana Yanga FC wenzangu tusikubali sajili hizi mbovu mbovu kama vipi tuandamane hadi kwa Sanga au Mkwasa.
 
Mmhh
 
Tulia dawa ikuingie wewe.....!
 
sindano ya tetenasi imekuingia hakika
 
Hawakukosea kuwaita mbumbumbu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahisi atakuwa mchezaji wa kwanza kusajiri muda mrefu wa miaka mitano

Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga wamefanya uwekezaji wa muda mrefu na watapata faida yake, ila mchezaji ni vigumu kunufaika kimaslahi lakini kwa umri wake kwa klabu kama Yanga atapata uzoefu bora kabisa na thamani yake itapanda maradufu baada ya hiyo miaka mitano kama atajitambua.
 
Manyika Jr alikuwa anaenda vizuri lakini alipoanza uhusiano na Naima amekuwa mtu wa bata na k 24/7
 
Back
Top Bottom