Next Black Panther (Parody)

BP ni moja ya character pekee iliobaki kuirudishia heshima Marvel. Maana wamenuua Ironman na Rogers sahivi sioni ata ushawishi wa movies zao.
Ni kweli kabsa! Ila sijaelewa kwa Robert Jr arudi tena kama Doctor Doom 😠 kwamba hakuna cast kabsa
 
Kwani hawawezi kichonga sura ya marehemu ivaliwe na mmoja wapo
 
Nadhani itakuwa ni disrespectful kwa wanafamilia
Kwani hawawezi omba ruksa filamu ambazo wahusika hufa kabla ya kumaliza akikaa mwingine haileti maana yoyote, hii filamu siilewi kabisa, mtu kama machete wa nini kwenye black panther?, orodha ya wazee tu , hapo 1 mpaka 4 Ina afadhali wakichukua mmoja na kumvisha kinyago cha marehemu waombe ruksa pesa haishindwi
 
Kwani hawawezi omba ruksa filamu ambazo wahusika hufa kabla ya kumaliza akikaa mwingine haileti maana yoyote, hii filamu siilewi kabisa
Wameshaharibu kwenye Wakanda Forever! Ile ngoma ilionekana Namor amewaoa Wakanda wote!? Nguvu za wale watu wake hata Mbaku alinyoosha mikono! Halafu unampa taji Shuri!? Serious!? Diversity and Inclusion iliharibu filamu kabsa
 
Mambo yasiwe mengi apewe tu anko wangu snoop muvi itachangamka balaa!
 
Ray🤣🤣🤣🤣
Utamsikia akisema Pumbaaaaavuuuu
 
Namba 9 itapendeza sana mkuu. Shida ni kwamba jamaa ana bonge la msala, na makampuni mengi yameshavunja nae mkataba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…