Next Black Panther (Parody)

Next Black Panther (Parody)

BP ni moja ya character pekee iliobaki kuirudishia heshima Marvel. Maana wamenuua Ironman na Rogers sahivi sioni ata ushawishi wa movies zao.
Ni kweli kabsa! Ila sijaelewa kwa Robert Jr arudi tena kama Doctor Doom 😠 kwamba hakuna cast kabsa
 
Coco jones?
Ni pisi kali ila nadhani kuna vitu inakosea maana sio kawaida
images (86).jpeg
 
Uvumi Unaenea Kuhusu ni nani anayeweza Kuchukua Nafasi ya Black Panther, huku kukiwa na tetesi zinaenea Hollywood kuhusu mustakabali wa filamu za Black Panther.

Ingawa Marvel Studios haijatoa taarifa yoyote rasmi, watu wa ndani wanapendekeza kwamba mabadiliko katika kurudisha uhusika mpya wa T'Challa.
View attachment 3205173

Hata hivyo, uwezekano wa kuanzisha toleo jipya la T’Challa au Black Panther mbadala umezua mijadala ya mashabiki. Ikiwa Marvel ataamua kufikiria upya mhusika, hii hapa ni orodha ya waigizaji ambao wanaweza kuchukua vazi hili:

1.
View attachment 3205174

2.
View attachment 3205175

3.
View attachment 3205176

4.
View attachment 3205177

5.
View attachment 3205178

6.
View attachment 3205179

7.
View attachment 3205180

8.
View attachment 3205181

9.
View attachment 3205182

10.
View attachment 3205183

11.
View attachment 3205184

12.
View attachment 3205185

13.
View attachment 3205186

14.
View attachment 3205187

15.
View attachment 3205188

16.
View attachment 3205189

17.
View attachment 3205190

18.
View attachment 3205191

19.
View attachment 3205192

20.
View attachment 3205193

Kwako wewe ni nani anafaa kuwa T'Challa mpya kwenye filamu za Black Panther? Binafsi Samuel Jackson au Machete ni moja ya machaguo bora sana. Anyway, hii ni Parody nothing serious 😃
Kwani hawawezi kichonga sura ya marehemu ivaliwe na mmoja wapo
 
Nadhani itakuwa ni disrespectful kwa wanafamilia
Kwani hawawezi omba ruksa filamu ambazo wahusika hufa kabla ya kumaliza akikaa mwingine haileti maana yoyote, hii filamu siilewi kabisa, mtu kama machete wa nini kwenye black panther?, orodha ya wazee tu , hapo 1 mpaka 4 Ina afadhali wakichukua mmoja na kumvisha kinyago cha marehemu waombe ruksa pesa haishindwi
 
Kwani hawawezi omba ruksa filamu ambazo wahusika hufa kabla ya kumaliza akikaa mwingine haileti maana yoyote, hii filamu siilewi kabisa
Wameshaharibu kwenye Wakanda Forever! Ile ngoma ilionekana Namor amewaoa Wakanda wote!? Nguvu za wale watu wake hata Mbaku alinyoosha mikono! Halafu unampa taji Shuri!? Serious!? Diversity and Inclusion iliharibu filamu kabsa
 
Mambo yasiwe mengi apewe tu anko wangu snoop muvi itachangamka balaa!
 
Samuel Jackson kama mkuu wa Avengers hawezi kua Black panther.

Binafsi naamini Jamie Foxx ni candidate mzuri. Pia inaniuma kwamba hatuna actor wa bara la Afrika tunayeweza kumtaja.

Imagine Vincent Kigosi maarufu kama Ray awe character ya Black panther
Ray🤣🤣🤣🤣
Utamsikia akisema Pumbaaaaavuuuu
 
Number 4, nimemuona kwenye muvi nyingi zinazoelezea umuhimu wa wamarekani weusi na weusi kwa ujumla kupigania haki zao, nahisi ni perfect candidate ukizingatia dhumuni kuu la hiyo muvi ni kuonyesha black race exelence.
Tofauti na hapo wampe Kanye….
Ye himself
Namba 9 itapendeza sana mkuu. Shida ni kwamba jamaa ana bonge la msala, na makampuni mengi yameshavunja nae mkataba.
 
Back
Top Bottom