Next Black Panther (Parody)

Next Black Panther (Parody)

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
3,978
Reaction score
6,739
Uvumi Unaenea Kuhusu ni nani anayeweza Kuchukua Nafasi ya Black Panther, huku kukiwa na tetesi zinaenea Hollywood kuhusu mustakabali wa filamu za Black Panther.

Ingawa Marvel Studios haijatoa taarifa yoyote rasmi, watu wa ndani wanapendekeza kwamba mabadiliko katika kurudisha uhusika mpya wa T'Challa.
images (98).jpeg

Hata hivyo, uwezekano wa kuanzisha toleo jipya la T’Challa au Black Panther mbadala umezua mijadala ya mashabiki. Ikiwa Marvel ataamua kufikiria upya mhusika, hii hapa ni orodha ya waigizaji ambao wanaweza kuchukua vazi hili:

1.
1737187694238.jpg

2.
1737187692513.jpg

3.
1737187690637.jpg

4.
1737187688589.jpg

5.
1737187686846.jpg

6.
1737187684990.jpg

7.
1737187683128.jpg

8.
1737187681315.jpg

9.
1737187679015.jpg

10.
1737187677231.jpg

11.
1737187675427.jpg

12.
1737187673692.jpg

13.
1737187671219.jpg

14.
1737187669330.jpg

15.
1737187666969.jpg

16.
1737163400428.jpg

17.
1737163384436.jpg

18.
1737163363212.jpg

19.
1737163337428.jpg

20.
1737163392756.jpg

Kwako wewe ni nani anafaa kuwa T'Challa mpya kwenye filamu za Black Panther? Binafsi Samuel Jackson au Machete ni moja ya machaguo bora sana. Anyway, hii ni Parody nothing serious 😃
 
Akiwa Samuel Jackson tutashangaa filamu nzima ni Mo***rf***er mwanzo mwisho 😃
Bora hata Samuel Jackson akiingia huyo Snoop itakuwa ni p**sy, son of b*t*h... mwanzo mwisho, japo wanaweza wasitumie hayo maneno lakini hao jamaa character yao itakuwa si nzuri sana kama u gangster haupo...

Namuona huyu jamaa atapendezea zaidi...
1737187677231-jpg.3205183
 
Pia Tyler James Williams naye yupo vizuri! Hawa wazee wataharibu filamu tu
 
Number 4, nimemuona kwenye muvi nyingi zinazoelezea umuhimu wa wamarekani weusi na weusi kwa ujumla kupigania haki zao, nahisi ni perfect candidate ukizingatia dhumuni kuu la hiyo muvi ni kuonyesha black race exelence.
Tofauti na hapo wampe Kanye….
Ye himself
 
Samuel Jackson vipi au Machette!?? 😃
 
Samuel Jackson vipi au Machette!?? 😃

Samuel angewakilisha vizuri ila hafai kuwa lead character sababu ya umri, danny trejo ni mmexico, hatuhusu kabisa

Black panther ni symbol ya umoja wa kusaidiana wa watu weusi, watetezi wa wanyonge. Mwaka jana Walikua na Mkutano wao Arusha pale, very nice people

Nataman umoja huu ungepata Nguvu na influence kama za Freemason au Nazis, huenda Bara la africa lingepata maendeleo kwa Haraka sana
 
Number 4, nimemuona kwenye muvi nyingi zinazoelezea umuhimu wa wamarekani weusi na weusi kwa ujumla kupigania haki zao, nahisi ni perfect candidate ukizingatia dhumuni kuu la hiyo muvi ni kuonyesha black race exelence.
Tofauti na hapo wampe Kanye….
Ye himself
Kanye West? naona Kanye West akae upande wa uadui kama Erik Killmonger (Michael B Jordan) itapendeza zaidi, kwa maana jamaa huwa ana sura flani very serious..
images
 
Samuel angewakilisha vizuri ila hafai kuwa lead character sababu ya umri, danny trejo ni mmexico, hatuhusu kabisa

Black panther ni symbol ya umoja wa kusaidiana wa watu weusi, watetezi wa wanyonge. Mwaka jana Walikua na Mkutano wao Arusha pale, very nice people

Nataman umoja huu ungepata Nguvu na influence kama za Freemason au Nazis, huenda Bara la africa lingepata maendeleo kwa Haraka sana
Hata mama yake Tupac Shakur alikuwa ni member wa black panther...
Halafu kuhusu harakati kama ulitizama filamu inaitwa Judas and Black Mesiah, ndani walikuwepo black panthers, namuona hata Fred Hampton atafaa sana kucheza, kwa jinsi alivyocheza kwenye Judas and black mesiah.
f4b4575caf63a4753c57c348566366ff.jpg
 
Samuel Jackson kama mkuu wa Avengers hawezi kua Black panther.

Binafsi naamini Jamie Foxx ni candidate mzuri. Pia inaniuma kwamba hatuna actor wa bara la Afrika tunayeweza kumtaja.

Imagine Vincent Kigosi maarufu kama Ray awe character ya Black panther
 
Aisee umeongeza kitu, Jamie Foxx angeua sana.
 
Samuel Jackson kama mkuu wa Avengers hawezi kua Black panther.

Binafsi naamini Jamie Foxx ni candidate mzuri. Pia inaniuma kwamba hatuna actor wa bara la Afrika tunayeweza kumtaja.

Imagine Vincent Kigosi maarufu kama Ray awe character ya Black panther

Jamie fox atengwee..
Japo inasemekana amekua Cloned nowdays, ana hadi freckels usoni
Ila the nigger is talented, alikiwasha kwenye “Django unchained” muvi ilianzia gizani mwamba akiwa na minyororo ila the moment alivyofunguliwa pakakucha!!
 
Back
Top Bottom