Ney wa Mitego aanza mchakato wa kujiondoa BASATA, asema atasambaza muziki wake Mitaani

Labda ahame nchi, basata ina wajibu wa kulinda watumiaji za kazi za wasanii awe amesajiliwa awe ajasajiliwa ni jukumu lao kuona kwamba kazi yoyote ya kisanii iliyotengenezwa na mtanzania au inayosambazwa kwa njia yoyote hapa nchini lazima inalinda maadili na mila na desturi za kitsnzania ajaribu kufanya hivyo kama wameuzuia wimbo ajitoe alafu asambaze mitaani aune ukubwa wa meno ya basata
 
mikwara haitasaidia chochote , wimbo ushasambaa nchi nzima hadi nje ya Tanzania , hata hapa ninao , una bando nikutumie ?
 
Labda ahame nchi, basata ina wajibu wa kulinda watumiaji za kazi za wasanii awe amesajiliwa awe ajasajiliwa ni jukumu lao kuona kwamba kazi yoyote ya kisanii iliyotengenezwa na mtanzania au inayosambazwa kwa njia yoyote hapa nchini lazima inalinda maadili na mila na desturi za kitsnzania ajaribu kufanya hivyo kama wameuzuia wimbo ajitoe alafu asambaze mitaani aune ukubwa wa meno ya basata
Basata is another waste of space

Hakuna nyimbo zina matusi kama za wasafi.... Vipi wametoa kauli

What is basata doing kusaidia wasanii wenye shida Ka zile za afya au jinai?
 
Kuimba kupokezana
Tulilia bei za bando wapunguze
Sahii acha nao waonje joto la jiji akitaka ajiondoe ata uananchi wa TZ
 
Basata is another waste of space

Hakuna nyimbo zina matusi kama za wasafi.... Vipi wametoa kauli

What is basata doing kusaidia wasanii wenye shida Ka zile za afya au jinai?
Two wrongs don't make a right
 
Tumekuwa tukipiga kelele sana hapa JF juu ya tungo za kipumbavu za wasanii wa BF recently..
Ahame nchi kabisa.
 
Hii ni baada ya masharti ya hovyo ya Sheria za Basata za kuruhusu wimbo upigwe redioni ama uonyeshwe kwenye TV .

Ney amesema atatunga na ataimbia mitaani na ikiwezekana atasambaza mtaa kwa mtaa mwenyewe .
Tutamuunga mkonon100%
Maana hao wahuni basata bado wanaandamwa na mzimu wa meko hawataki kuamini kuwa Tz imeshapata Uhuru dikteta amekufa kibudu
 
Atakula unyumbu wake.

Jitu jinga kama nini badala ya kutumia kipaji chake kuimba lenyewe kutwa kujipendekeza kwa mboe
Kama wewe na mashog@ wenzako mlivyokuwa mkijipendekeza kwa meko mkapakuliwe biriani, sahivi alokuwa akiwapakua nayeye anapakuliwa na shetani
 
Hiyo ndo balaa zaidi! Asijaribu! Ataambiwa ni mchochezi, Kisutu itamuhusu soon.
 
Mada kama hizi mngekuwa mnaacha zijadiliwe instagramu tu!
 
Kuna wakati afande sele alitaka sambaza mwenyewe!ila alichemka

Ova
 
Back
Top Bottom