Ney wa mitego ahamia kwenye mjengo Wake mpya

Ney wa mitego ahamia kwenye mjengo Wake mpya

Eti mwenzenu mimi sioni kama tunaweza kujenga uchumi imara bila kuwa wazalishaji. Biashara sioni kama ni muhimili wa jishikilia.
Mimi nikiangalia nchi nilizochagua (sijui zingine) zimepanda kwa kusimamia vizuri rasilimali zake. Baada ya hapo biashara inakuja tu bila kupenda.
Mfano China ni mkakati mkubwa sana wa kilimo, viwanda vikubwa na migodi.
Urusi wali identify resources zao kama madini nk.
Marekani Waarabu, South Afirica etc.

Kwa kweli tusipokuwa wakweli kwa nafsi zetu tutaumbuliwa hadharani vibaya sana kama huu mradi wa TANESCO ambao hata hauvutii kujadili.

Wafanya biashara watakuja tu, serikali iweke mkazo kwenye uzalishaji.
Resources zetu ni ardhi kwa kilimo madini na mifugo pia utalii.
viwanda vitokane na hayo na visimamiwe na waadilifu wakijua hapo ndio pa kujengea nchi au pa kuiulia.
Ningependekeza jina la nchi yetu lijulikane kwa umaarufu wa hayo yote. Kila moja na uzito wa kutosha.
Mfano wasiwepo watu wasio na uwezo katika hizo sekta, kwa sasa panatakiwa uwajibikaji wa haraka na ufanisi wa hali ya juu kujitoa shimoni zilipo na kuanza kupanda.
Chonde chonde wanasiasa sikilizeni wataalamu,

Wema alisema amejenga nyumba ya 400m leo hii iko wapi? Leo naweza piga picha nikiwa kwenye jengo la pspf na vogue la Nimrod zen niseme this is my house sitakushangaa ukinipa like!
Hiyo nyumba haina dhamani ya 180m jombaa!!
Nina miaka miwili tangu nimetoka chuo,kiwanja ninacho ntajenga,pia nina miaka 4 ndo nifike 30 ntakua sijajenga tu mkuu??
 
We kweli umetoka shule😄. Kwahiyo uliambiwa ukiwa na kiwanja baada ya miaka 4 utakua umejenga?? Bado una hangover za boom!
 
Inaonyesha hujajenga wala dalili huzioni. Mil. 18 utajenga hio nyumba????

Ngoja nifanye utafiti nikuletee jipu jipesi kabisa naona hata shule hukwenda na kama ulienda haikukusaidia! 18m unajenga nyumba toka msingi hadi bati!!
 
Ngoja nifanye utafiti nikuletee jipu jipesi kabisa naona hata shule hukwenda na kama ulienda haikukusaidia! 18m unajenga nyumba toka msingi hadi bati!!

Nyumba kibanda?? Kwa taarifa yako nimeshajenga tena na nyingine iko stage nzuri sasa. So I'm speaking from experience. Ila kama unazungumzia zile nyumba za vyumba vinatazamana katikati corridor naweza kukuelewa
 
Kajitahidi kwa kweli nyumba iko simple afu poa lakin hapo kwenye bei ndio kutudanganya maana hata kigae cha Nabaki Afrika hakuna,,,ni kwenye around 70Mil hivi!
 
Wema alisema amejenga nyumba ya 400m leo hii iko wapi? Leo naweza piga picha nikiwa kwenye jengo la pspf na vogue la Nimrod zen niseme this is my house sitakushangaa ukinipa like!
Hiyo nyumba haina dhamani ya 180m jombaa!!
Nina miaka miwili tangu nimetoka chuo,kiwanja ninacho ntajenga,pia nina miaka 4 ndo nifike 30 ntakua sijajenga tu mkuu??

hahahaa..welcome to the real world mdogo wangu... its gud to b optimistic but trust me,, u r in for a big surprise!
 
IMG_0556.jpg

hongera Ney umejitahidi sana

watu wa JF acheni kupaisha bei hii nyumba si ya m 180 labda iwe na special security system kama B.O.T
 
I am not an architect lakini naona wengi humu we are busy speculating kwamba hii nyumba haifiki 180M bila kujiuliza ndani kaweka nini. By the way gharama za nyumba ni finishing. Kwa hiyo nyumba can as well be 180M kulingana na vitu ambavyo ametumia ndani ya nyumba yenyewe.

All in all, the guy has done a very nice project. Hongera Ney. Permanent address mjini ni muhimu. Keep up the good work.
 
Na hawa vijana wanauza sana pida hawa hili swala lazima jk alitazame kwa umakini sana
Wengine wanatumia ile nafasi ya kuwa karibu na rais kufanya hizo biashara.
 
Duuuuuuuuuuhhhhhhhhhhhhhhhhh !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! ngoja nianze kuimba
 
Ngoja niwape bei kamili ya Nyumba hii.
Kiwanja kimara 10m kama si kirimani cha kupimiwa na serikali tshs high density 6 m
Hiki ni high density

Kunyanyua tofari kuanzia msingi hadi linta 6m
Kuwezeka mabati migongo mipana Fundi pamoja na mbao 10m
Kupiga lipu Nyumba nzima 2m
Kupiga rangi kwa rangi za kisasa ndani ndoo sita laki sita
Fundi rangi 1m
Milango ya mbele na nyuma jumla 1m
Madirisha aluminium 8 Mara 300 2.4m
Roof na Maua yake 5m
Griri za nje 2m
Vitofari 10,000 x 400 = 4m
Vitanda na godoro vyumba vitatu 2m
Tuseme karibu 40m
Mengine tusipaisha na kudanganyana
 
Mbona hujamaliza? Tiles? Umeme? Mabomba na mfumo wa maji taka? Fenicha? Milango ipo miwili tu? Ukuta?......
Gharama zinaongezeka kutokana na ukubwa wa nyumba, ushaipima hio nyumba?
 
Mbona hujamaliza? Tiles? =2 mUmeme= 1m pamoja nawiring Mabomba na mfumo wa maji taka laki 800 Fenicha 1.2 Milango ipo miwili tu milango 4 ya ndani ni laki 5 Ukuta?......
Gharama zinaongezeka kutokana na ukubwa wa nyumba, ushaipima hio nyumba?
Kuipima hakuitaji sayansi kubwa kwa kuwa mwonekana wa picha na paa vinatosha
Hata hivyo huwa tuna kampuni ndogo ya ujenzi hizi gharama za kujipandisha huwa ni uongo tu. Kama kweli ni hivyo mbona Nyumba kama hiyo NHC ni 30 m? Msizoee kupandisha ujinga msifuni tu kwa kujitambua kujenga sehemu ya kujihifadhi si wale wanaopangishwa kesho magazetini utasikia kanunua Nyumba mil 200 baadaye akiachwa anafurushwa au sio wale waliotamba misiba ikawaumbua.
Nahitisha piga UA haizi 45 m
 
Ngoja nifanye utafiti nikuletee jipu jipesi kabisa naona hata shule hukwenda na kama ulienda haikukusaidia! 18m unajenga nyumba toka msingi hadi bati!!
Hivi kweli mnaliwa sana 18 m ukiwa na kiwanja unajenga Nyumba kuanzia msingi hadi bati na gharama za mafundi hadi ukizidiwa waweza kuziba dirisha Tartu za drili na kuamia
 
Back
Top Bottom