Ney wa Mitego ajinunulia gari mwenyewe kama zawadi ya siku ya kuzaliwa kwake

acheni unafiki nyie ney ana deal nyingi ikiwemo za matangazo kama airtel na hatujui ni kiasi gani amelipwa so mwacheni ayafulahie maisha bwana mna matatizo gani wakuu?!!!!!

kama matangazo yangekuwa deal nchi hii basi joti na mzee majuto wangekuwa mamilionea.
 
Gari ya mwaka 2007 anasema ni mpya?
R.I.P Me.....🙁

kuna wengine mpo humu mnamdis ney kununua gari la 2007 wakati nyie mnatembea kwa miguu ndio africans hatuendelei sababu sio rushwa au matumizi mabaya ya madaraka tatizo kubwa hatuna akili na wivu wa kijinga hata mweusi mwenzetu akinafanikiwa!!!!!
 
kama matangazo yangekuwa deal nchi hii basi joti na mzee majuto wangekuwa mamilionea.

ishi kwa kuelewa sio kukalili mkuu joti anafanya matangazo na kampuni gani kubwa tigo? acheni wivu wa kijinga na kiukweli ney muziki umemlipa kuanzia last year acheni haishi anavyotaka sio mnavyotaka matola!!!!
 
acha kubwatabwata kama nyumba ndogo ya huyo mpiga kelele, tigo ni kampuni ndogo? wewe ni mzima kweli?
 
kuna wengine mpo humu mnamdis ney kununua gari la 2007 wakati nyie mnatembea kwa miguu ndio africans hatuendelei sababu sio rushwa au matumizi mabaya ya madaraka tatizo kubwa hatuna akili na wivu wa kijinga hata mweusi mwenzetu akinafanikiwa!!!!!

Gari sio maendeleo mkuu, nchi zilizoendelea wanakwepa sana individual transport wanapenda public transport kuzuia pollution
 
we kweli walinazi ndio maana unataka na mzee majuto anunue gari ya 37m kwa movie anazotoa za vituko acha ujinga na wivu wa kike au --------- wa wanaume wenzako coz una wivu wa kishoga!
 
nyie inawahusu nini wakuu kama amepanga inamhusu yeye na maisha yake mbona kuna watu wengi hawana nyumba lakin wanamiliki magari na hatujui may be anajenga tumwache jaman!
 
we kweli walinazi ndio maana unataka na mzee majuto anunue gari ya 37m kwa movie anazotoa za vituko acha ujinga na wivu wa kike au --------- wa wanaume wenzako coz una wivu wa kishoga!

unabwabwaja tu sasa ney ana mziki gani?
 
Iv gari ya ney cc inatuhusu nini...kanunua UDA au???kwamba wananchi watatumia ktk usafiri....birthday ya ney unafatilia ww ni mamake au.
 
watu wapuuzi na hawajielewi wanadis ney kununua gari hayo ni maisha yake jaman keep it in the trush!!!!
 
kuna wengine mpo humu mnamdis ney kununua gari la 2007 wakati nyie mnatembea kwa miguu ndio africans hatuendelei sababu sio rushwa au matumizi mabaya ya madaraka tatizo kubwa hatuna akili na wivu wa kijinga hata mweusi mwenzetu akinafanikiwa!!!!!

Well,
Nimejaribu kujiuliza uhalali wa gari ya 2007 kuitwa mpya.. By the way, topic hapa ni Ney wa mitego.
Kuhusu mimi unaweza kunitafuta nikuoneshe vitu ninavyomiliki kisha utaamua kama mimi ni masikini au la.
 
Mkuu naomba unitumie id za instagram za celebrities wa tz
 
acha ujinga wewe kubwa zima lakini akili za kifala unauliza anafanya mziki gani? kwani we umemjua ney kupitia nini ubasha?!!!!!

Napata wasi wasi na jinsia yako unaweza kuwa nyumba ndogo ya ney.....endelea kubwata kama vile leo kaondoka hajaacha hela ya kula nyumbani
 
kuna wengine mpo humu mnamdis ney kununua gari la 2007 wakati nyie mnatembea kwa miguu ndio africans hatuendelei sababu sio rushwa au matumizi mabaya ya madaraka tatizo kubwa hatuna akili na wivu wa kijinga hata mweusi mwenzetu akinafanikiwa!!!!!

Umeongea point sana mkuu,kuna watu hawana uwezo hata wa kununua baiskeli lakini ndio wa kwanza kuponda wengine,acha maisha uaendelee tu asiye na kitu amponde mwenye kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…