Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
acheni unafiki nyie ney ana deal nyingi ikiwemo za matangazo kama airtel na hatujui ni kiasi gani amelipwa so mwacheni ayafulahie maisha bwana mna matatizo gani wakuu?!!!!!
kama matangazo yangekuwa deal nchi hii basi joti na mzee majuto wangekuwa mamilionea.
