Ney wa Mitego amuuliza Idris Sultan mil. 500 zimeishaje?

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Baada ya idris sultan kuonekana kufulia mjini msanii ney wa mitego ameibuka na kumuuliza idris sultani kuhusu milioni 500 alizoshinda kwenye big brother
Ney wa mitego" baada ya kushinda big brother watu wadau walimkanya kuhusu wacheza sinema wa bongo, ila inabidi atuambie pesa nyingi zile milion 500 zimeisha ishaje fasta hizi kijana mwenzetu, milioni 500 si mchezo, idris tuambie zimeishaje?



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…