Ney wa Mitego amuuliza Idris Sultan mil. 500 zimeishaje?

Ney wa Mitego amuuliza Idris Sultan mil. 500 zimeishaje?

Ahahahaha!ametumia vibaya mwisho wa cku atajikuta anauza mwili wake kwa waarabu ili aendelee kutunza usharo wake
 
sijui alinunua ama kukopeshwa,lakini mnaweza kukadiria ni kiasi gani..Location:Mbezi Beach
Idris-akiwa-kwenye-nyumba-yake.jpg
Hii nyumba alipewa aishi mwaka 1 buree hakununua wala kukopeshwa , na ameshahama hapo muda
 
Back
Top Bottom