Ney wa Mitego amuuliza Idris Sultan mil. 500 zimeishaje?

Ney wa Mitego amuuliza Idris Sultan mil. 500 zimeishaje?

sijui alinunua ama kukopeshwa,lakini mnaweza kukadiria ni kiasi gani..Location:Mbezi Beach
Idris-akiwa-kwenye-nyumba-yake.jpg

Hapo sio kwa jamaa wake?
 
Alizawadiwa hiyo nyumba na mwarabu familia ya jamaa wa furniture centre sikuhizi GSM ....

Swali jiulize huo urafiki wa mwarabu na mbongo hadi kupeana ghorofa wapi na wapi
heresy..........sijaiona sehemu yeyote..Nisaidie chanzo cha kuaminika..
 
Back
Top Bottom