boaz mwalwayo
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 6,287
- 4,738
sijui alinunua ama kukopeshwa,lakini mnaweza kukadiria ni kiasi gani..Location:Mbezi Beach
Mkuu umetisha vby mno!!!!!maadam ni sheeeedah[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji1] [emoji1] [emoji1] umenichekesha sana mkuu!
sijui alinunua ama kukopeshwa,lakini mnaweza kukadiria ni kiasi gani..Location:Mbezi Beach
hiyo habari mpya kwanguHapo sio kwa jamaa wake?
heresy..........sijaiona sehemu yeyote..Nisaidie chanzo cha kuaminika..Alizawadiwa hiyo nyumba na mwarabu familia ya jamaa wa furniture centre sikuhizi GSM ....
Swali jiulize huo urafiki wa mwarabu na mbongo hadi kupeana ghorofa wapi na wapi
Haziji mara mbili zile pesa.....,ila akipata tena hatarudia.
Alifikiria kufuatwa na wanawake lukuki tena wenye majina ni kupendwa,ila akipata tena hatarudia.
unahisi kaliwa au kala?Alizawadiwa hiyo nyumba na mwarabu familia ya jamaa wa furniture centre sikuhizi GSM ....
Swali jiulize huo urafiki wa mwarabu na mbongo hadi kupeana ghorofa wapi na wapi
Akipata tena nini?!labda kupatwa kwa jua.Alifikiria kufuatwa na wanawake lukuki tena wenye majina ni kupendwa,ila akipata tena hatarudia.
Anaishi DarAnaishi Singida?
heresy..........sijaiona sehemu yeyote..Nisaidie chanzo cha kuaminika..