peoples power
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 475
- 100
Si mpaka aje aziokote tena hivi unafikili zinakujaga Mara mbiliMbili!!Alifikiria kufuatwa na wanawake lukuki tena wenye majina ni kupendwa,ila akipata tena hatarudia.
Mwisho mwampamba hakuwahi kupata Pesa big brother mkuu!!Ataingia bongo movie asijali, kama mwisho mwampamba
Aliandikaga mwenyewe huko huko Instagram kumshukuru jamaa...heresy..........sijaiona sehemu yeyote..Nisaidie chanzo cha kuaminika..
vyanzo vingi naona either alinunua ama kukopeshwa...Aliandikaga mwenyewe huko huko Instagram kumshukuru jamaa...
unashindwa kunipa hata link unahoji my reasonable doubts...?Kwamba huamini nini
Swali la msingi sana.Ye anajuaje zimeisha?
Mara nyingi watu kama ninyi hampatagi hela kama hizi.Ningelikuwa mm ningechukua Tzs 350mil nafungua Fixed Deposit kila mwezi nakula interest
Mi 150 najenga nyumba na naanzisha biashara
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahahaha.....nawaza dume challenge tu hapa......!!baada ya miaka kumi tutasikia nae mtoa macho...atajiita Spider!!