Ney wa Mitego amuuliza Idris Sultan mil. 500 zimeishaje?

Kaingizwa chaka na tako feki la sepetunga,dogo kwishaaa,lakini nadhani kiasi cha mboga kakificha chimbo..
 
Alizawadiwa hiyo nyumba na mwarabu familia ya jamaa wa furniture centre sikuhizi GSM ....

Swali jiulize huo urafiki wa mwarabu na mbongo hadi kupeana ghorofa wapi na wapi
hata mie nilikuwa najiuliza huyu dogo anavyocheketukacheketuka hata kama u comedy nilingiwa na wasiwasi mkuu
 
Mi hizo million 500 ningeenda kunywa chai Texas
Narudi kesho ake naenda Paris ndani ya wiki
Navunja zote namaliza kabisa
Kisha nakaa kama mwanzo
 
sijui alinunua ama kukopeshwa,lakini mnaweza kukadiria ni kiasi gani..Location:Mbezi Beach
Duh!!,yaani five hundred million anatembelea hilo puto!!!?...shikamoo mademu wa bongo muvi.
 
sijui alinunua ama kukopeshwa,lakini mnaweza kukadiria ni kiasi gani..Location:Mbezi Beach
Mie ni jirani ya hizo apartments, kwanza kwa location zilipo hawezi kuwa alinunua hata kama ni milioni mia tano, maana kiwanja tu kwa mbezi ya whitesands kinavuka hiyo bei. Halafu sijui kwa nini vijana wanajisahau dah atarudi kupiga picha za harusi mpaka za msiba wa mademu zake wote na iwe fundisho kwa wengine mnaenda kuuza sura mnajidhalilisha then mnapata hela bado mnakaa kudhalilika , why??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…