Wema kazidi,andanganya ana mimba kumbe anafunga matambaaHizo nyumba umethibitisha? Usiamini kila unachoambiwa, au hujui Yule ni msanii? Ile nyumba ya mil 400 ya Wema ikowapi?
Kweli mkuu na ndege wanaofanana daima huruka pamoja, huyu jamaa ni rafiki mkubwa wa Diamond ni watafutaj wazuri na ni watu tofauti na tunavyowafikiria, awali nilihis Mond ni mtu anajisikia na vitu vingine negative, niliwah kumsikia akihojiwa na Djaro Arungu ni tofauti na yule niliekuwa namdhania na kabla ya hapo aliwahi kuhojiwa mpiga picha wake daah jamaa yuko tofaut sn baadae nilipata jibu kwanin wanazid kufanikiwa hawa jamaa wawili.Tatizo liko wapi? Nimemsikiliza majuzi pia wakati anahojiwa na Zamaradi na pia nimemsikia leo, HUYU JAMAA ni kaamua tu kutengeneza image ya kisanii kama bad boy, ila anaonekana ni mtu poa sana! Yaani Emmanuel Elibariki ni mtu tofauti na Nay wa Mitego. Ni mmoja ya wasanii wachache wanaojua kufanyiwa interview na akajibu majibu yenye point.
Kiufupi, ni mmoja ya wasanii wachache wanaojitambua.
Nimebadili kabisa mtazamo wangu kuhusu huyu jamaa, nilijua ni mkorofi kama anavyojinadi ktk nyimbo zake.
Ney wa Mitego amesema kupitia Clouds TV kwamba Mali anazomiliki na fedha bank thamani yake ni zaidi ya billion 1, hii mi nakataa Ney hawezi kuwa na utajiri huo, akawadanganye wajinga, kwa show gani? Labda aniambie kazipata kwa njia zile nyingine ila sio kwa huu mziki wake wa mipasho
Nani amethibitisha kama ana nyumba NNE, Hivi msanii anaweza akawa Na nyumba 4 asituonyeshe?inawezekana kabisa...
Mfano kama una nyumba nne na kila moja ikawa sh 150 Millions tayari ana milioni 600....hizo milioni 400 jamaa ana miradi ya kuuza mbao from iringa...inawezeana...pamoja a assets zingine...\
Bilioni moja sio hela nyingi kihiiivyo
Mkuu nilitaka kusema hivyo hivyo mwanzo wa thread.....hio hela 1B wengi hatuna lakini sio nyingi kivile. Ukijumlisha assets mbili tatu na thamani ya biashara 1B sio nyingi.inawezekana kabisa...
Mfano kama una nyumba nne na kila moja ikawa sh 150 Millions tayari ana milioni 600....hizo milioni 400 jamaa ana miradi ya kuuza mbao from iringa...inawezeana...pamoja a assets zingine...\
Bilioni moja sio hela nyingi kihiiivyo
Kuna mtu anaitwa mzee Yusuph yule muimba taarabu,nasikia ana nyumba kadhaa hapa mjini. Sijui kama aliwahi kuonyesha watu.Nani amethibitisha kama ana nyumba NNE, Hivi msanii anaweza akawa Na nyumba 4 asituonyeshe?
umeshirikisha ubongo wako katika kutoa hii comment?Nani amethibitisha kama ana nyumba NNE, Hivi msanii anaweza akawa Na nyumba 4 asituonyeshe?
Huyo muongo, akiulizwa hivyo vitu vimewekwa jina gani anasema havina jina, hadi salon haina jina lolote? Uongo mtupu