Ney wa Mitego ana utajiri wa zaidi ya Bil.1?

Ney wa Mitego ana utajiri wa zaidi ya Bil.1?

Maisha yao ni usanii tu sio kla anachotamka ndio anamiliki usanii ndio uko hivyo
 
Haijarishi ana pesa kiasi gani, muhimu kama analipa kodi.
 
Hizo nyumba umethibitisha? Usiamini kila unachoambiwa, au hujui Yule ni msanii? Ile nyumba ya mil 400 ya Wema ikowapi?
Wema kazidi,andanganya ana mimba kumbe anafunga matambaa
 
Tatizo liko wapi? Nimemsikiliza majuzi pia wakati anahojiwa na Zamaradi na pia nimemsikia leo, HUYU JAMAA ni kaamua tu kutengeneza image ya kisanii kama bad boy, ila anaonekana ni mtu poa sana! Yaani Emmanuel Elibariki ni mtu tofauti na Nay wa Mitego. Ni mmoja ya wasanii wachache wanaojua kufanyiwa interview na akajibu majibu yenye point.
Kiufupi, ni mmoja ya wasanii wachache wanaojitambua.
Nimebadili kabisa mtazamo wangu kuhusu huyu jamaa, nilijua ni mkorofi kama anavyojinadi ktk nyimbo zake.
Kweli mkuu na ndege wanaofanana daima huruka pamoja, huyu jamaa ni rafiki mkubwa wa Diamond ni watafutaj wazuri na ni watu tofauti na tunavyowafikiria, awali nilihis Mond ni mtu anajisikia na vitu vingine negative, niliwah kumsikia akihojiwa na Djaro Arungu ni tofauti na yule niliekuwa namdhania na kabla ya hapo aliwahi kuhojiwa mpiga picha wake daah jamaa yuko tofaut sn baadae nilipata jibu kwanin wanazid kufanikiwa hawa jamaa wawili.
 
Ney wa Mitego amesema kupitia Clouds TV kwamba Mali anazomiliki na fedha bank thamani yake ni zaidi ya billion 1, hii mi nakataa Ney hawezi kuwa na utajiri huo, akawadanganye wajinga, kwa show gani? Labda aniambie kazipata kwa njia zile nyingine ila sio kwa huu mziki wake wa mipasho

upload_2016-2-27_14-52-41.jpeg
upload_2016-2-27_14-52-41.jpeg
 
Hahahaaa ngoja tu nishike adabu yangu ama sivyo nitabishi mpaka kesho kutwa!!!
Anyways... hela anayo lakini
 
Tunakaa sana darasan halafu hatuna mafanikio makubwa kimaisha baada ya kupata hvyo vyeti tunajenga chuki an kila aliyefanikiwa wanaofanikiwa wakiwa na elimu Ya wastan wanatuona sisi wasomi mazoba wanajaribu kuzidisha kila wanachomiliki waonekane wanathaman zaid yetu wakisahau tulikaa darasan
 
Roho yakorosho, mwenzio anatusuwa, we uleta ushetani wako tu tu tu tu tu,
 
inawezekana kabisa...

Mfano kama una nyumba nne na kila moja ikawa sh 150 Millions tayari ana milioni 600....hizo milioni 400 jamaa ana miradi ya kuuza mbao from iringa...inawezeana...pamoja a assets zingine...\

Bilioni moja sio hela nyingi kihiiivyo
 
inawezekana kabisa...

Mfano kama una nyumba nne na kila moja ikawa sh 150 Millions tayari ana milioni 600....hizo milioni 400 jamaa ana miradi ya kuuza mbao from iringa...inawezeana...pamoja a assets zingine...\

Bilioni moja sio hela nyingi kihiiivyo
Nani amethibitisha kama ana nyumba NNE, Hivi msanii anaweza akawa Na nyumba 4 asituonyeshe?
 
inawezekana kabisa...

Mfano kama una nyumba nne na kila moja ikawa sh 150 Millions tayari ana milioni 600....hizo milioni 400 jamaa ana miradi ya kuuza mbao from iringa...inawezeana...pamoja a assets zingine...\

Bilioni moja sio hela nyingi kihiiivyo
Mkuu nilitaka kusema hivyo hivyo mwanzo wa thread.....hio hela 1B wengi hatuna lakini sio nyingi kivile. Ukijumlisha assets mbili tatu na thamani ya biashara 1B sio nyingi.

Naamini humu kuna watu wana nyumba zaidi ya tatu sasa kwa bei zetu za kununua nyumba kweli hizo nyumba nne au tatu hazikufanyi uwe na mali za 1B?
 
Nani amethibitisha kama ana nyumba NNE, Hivi msanii anaweza akawa Na nyumba 4 asituonyeshe?
Kuna mtu anaitwa mzee Yusuph yule muimba taarabu,nasikia ana nyumba kadhaa hapa mjini. Sijui kama aliwahi kuonyesha watu.

Unaposema asituonyeshe una maana gani? nyinyi washabiki au jamii yote? Inawezekana akaonyesha watu wake wa karibu.
 
Huyo muongo, akiulizwa hivyo vitu vimewekwa jina gani anasema havina jina, hadi salon haina jina lolote? Uongo mtupu

Haaah! mpk magari hayana jina! Tanzania hii hii ya majipu!
 
Back
Top Bottom