Anachengwa NeyTena alivyosema sio billion 1 tu, alisema ni zaidi ya billion 1
Na wewe ni msomi???? Au msomaji.Tunakaa sana darasan halafu hatuna mafanikio makubwa kimaisha baada ya kupata hvyo vyeti tunajenga chuki an kila aliyefanikiwa wanaofanikiwa wakiwa na elimu Ya wastan wanatuona sisi wasomi mazoba wanajaribu kuzidisha kila wanachomiliki waonekane wanathaman zaid yetu wakisahau tulikaa darasan
Viroba bhana....Vigari vitano.
Porte millioni 7
Murano millioni 27
Markx millioni 16
Ile nyingine milioni 18
Jumla millioni 68. Hizo gari tano zote zina thamani ya gari moja tuu Prado vx used.
Hakuna nyumba ya three bedroom yenye thamani ya millioni 200 kwa moja.
Ngoja tukusaidie sisi tuliowahi kujenga.
Three bedroom house maximum ni milioni 85 hapo jumlisha na bei ya kiwanja ( kwa waliojenga kuanzia mwenge kwenda tegeta, ubungo kwenda kimara, gongo la mbali (mboto) kwenda chanika.
Ghorofa moja ya two to three bedroom ni milioni 120 kama utatumia nguzo za matofali ya kulaza na milioni 150 mpaka 170 kama utatumia nguzo za zege. Soo huo utoto wa kudanganyana nendeni instagram.
NI WACHACHE SANA TUNAOWEZA KUSIMAMA KIFUA MBELE NA KUSEMA TUNA UTAJIRI WA BILIONI MOJA NA USHEE. RIZIKENI NA MNACHOKIPATA ACHENI US*****E
Sasa mkuu mtu kashaweka vyanzo vyake vya mapato na mali zake bado mnapinga bila kuwa na fact?We kisambo unamtetea ney kwa vitu ambavyo vipo waz kabisa hiv kama Ney kwa mziki wake ana billion moja Ay?.. Jide?.. Dimond.. Prof J si watakuwa na trillions ov money kama ni muziki tu bila kubeba sembe...
Punguza kukarir maisha mkuu,tumia akili kwa maana hiyo kisa wanaopigia picha kwenye nyumba za kupanga bhas wamilik wa nyumba wasifanye tha same thing kwa kuogopa kuambiwa hivyo!Kwahiyo kupiga picha na Prado ndo proof ya kwamba ni yake? Mbona Shetta anawekaga picha za Range anasema 'my new ride' ambalo Nay anasema kapewa na Chief Kiumbe?
Hamna kitu hapa....true boy kaza buti kaka.....wabongo tunafurahia just mtu akiwa anatoka juu ya mlima akiviringika kuja chini maana tunajua atatufikia alipokuwa ametuacha...ila akiwa anapanda mlima kwenda juu asee utashambuliwa mpka basiVigari vitano.
Porte millioni 7
Murano millioni 27
Markx millioni 16
Ile nyingine milioni 18
Jumla millioni 68. Hizo gari tano zote zina thamani ya gari moja tuu Prado vx used.
Hakuna nyumba ya three bedroom yenye thamani ya millioni 200 kwa moja.
Ngoja tukusaidie sisi tuliowahi kujenga.
Three bedroom house maximum ni milioni 85 hapo jumlisha na bei ya kiwanja ( kwa waliojenga kuanzia mwenge kwenda tegeta, ubungo kwenda kimara, gongo la mbali (mboto) kwenda chanika.
Ghorofa moja ya two to three bedroom ni milioni 120 kama utatumia nguzo za matofali ya kulaza na milioni 150 mpaka 170 kama utatumia nguzo za zege. Soo huo utoto wa kudanganyana nendeni instagram.
NI WACHACHE SANA TUNAOWEZA KUSIMAMA KIFUA MBELE NA KUSEMA TUNA UTAJIRI WA BILIONI MOJA NA USHEE. RIZIKENI NA MNACHOKIPATA ACHENI US*****E
Kwani tunamzungumzia AY hapa?
Nani amethibitisha kama ana nyumba NNE, Hivi msanii anaweza akawa Na nyumba 4 asituonyeshe?
Huyu jamaa ulishawahi kumwona hata siku moja kaenda nje ya nchi?? Au anabeba kutoka Dar kupeleka Mtwara??Pundaaaaaaaaaaaaaaaaaaa....
Hapo ndio ushangae.. Jamaa sijawahi kuona picha yake akiwa nje ya nchi wala kusema alikuwa nje lakini anaitwa PundaPunda wa sembe asiyesafiri kwenda nje?
Wewe unachuki na wasanii wabongo. Tatizo umechukua uhalisia wa maisha ya sheta na wema sepetu. Umeyaweka kws ney kwa domo.. Kwa alikiba.. Kwa roma.. Kwa izo.. Kwa bonta.. Kwa darasa.. Kwa.. Dix.. Kwa stuka wenzako wanachakarika brohMzee Yusuph tofauti Na wasanii wa bongofleva, msanii wa bongofleva Na bongomuvi hata gari la kuhongwa anaonyesha
Mkuu tatizo lako unatokwa na mapovu bila ya kuwa na Uchunguzi,kwa nin hana hizo hela wakat kataja mpk vyanzo vya mapato?Tatizo elimu hana kabisa, and if u think education is expensive try ignorance, unapofungua kinywa Mbele ya wasomi ongea facts zinazo reflect actual reality, kwa kipi huyu jamaa anafanya hata cha kumfanya awe na net worth ya million 100 tu, if you think education is expensive try ushamba kama wa huyu jamaa