Ney wa Mitego ana utajiri wa zaidi ya Bil.1?

Usilolijua ni sawa na usiku wa giza, nawe watoka nje sasa utatembea mpaka Manzese kweli?
 
Mkuu tatizo lako unatokwa na mapovu bila ya kuwa na Uchunguzi,kwa nin hana hizo hela wakat kataja mpk vyanzo vya mapato?

Unajua unavyoambiwa kitu usikiingize directly kwenye akili Kama kilivyo, changanya na zako kisaikolojia tu huyu mtu wa majigambo sasa kwa bilioni moja angakuwa anaendesha hivi vigari vya chini ya 10m changanya na zako sajabu wewe ni moja wa watu walioamini ile nyumba yake alijenga kwa 200m,,ila anyway labda kashawapata watu kwenye elimu level zake wanaomwaini
 
Masahihisho kidogo boss...tani ya cement ni mifuko 20 na siyo mifuko 100 so tan 2 ni mifuko 40..haya muendelee kubishana nilikuwa napita tu..
 
Punguza ku kariri maisha alafu pia weka chuki pembeni kuwa na pesa sana ndo utembelee gari ya mill 300 sereously???kumbe una thinking capacity ndogo kias hicho???Em Taja hizo gar za 10M
 
Unaweza ukawa 'worth tzs 1b' lakini kwenye akaunti huna tzs 100m nafikiri unajua kivipi ni hivi unaweza kuwa na asset na biashara zenye thamani hio. Sasa kwa hali hio huwezi kuvamia tu gari la tzs 70m au 100m.
 
Duh mkuu naona unatokwa povu nijibu kwa facts sio bla blas ,, kapitie hata facts za return on asset, equity na investment How can u have 100m in cash and make it relevant for the other assets be 900 m worth,, boy you need a real understanding on this things hivi vitu sio vyakuropoka tu kama stori za team d na team a the next time reply with FACT
 
Punguza ku kariri maisha alafu pia weka chuki pembeni kuwa na pesa sana ndo utembelee gari ya mill 300 sereously???kumbe una thinking capacity ndogo kias hicho???Em Taja hizo gar za 10M

Kuna kitu kinaitwa perception, perception yako is in some kind of a wastrel manner, don't open that trash bin if your mind is an empty toilet prove in Nina chuki, prove it nmekariri , answer in a realistic facts realistic reality don't reply with no facts
 
Punguza povu
 
hio post niliotoa ni simple lakini akili yako iko too shallow to understand. unavyoona Mark Zuckerburg ana worth $44b unafikiri anazo hizo 44b kwenye akaunti?
 
hio post niliotoa ni simple lakini akili yako iko too shallow to understand. unavyoona Mark Zuckerburg ana worth $44b unafikiri anazo hizo 44b kwenye akaunti?
You are tripping men, una divert argument kwenda kwengine kwa kina mark zuck, tunamjadili nay hapa. Don't make an argument reach a conclusion with irrelevant facts, dig up and come back with some genuine facts reflecting the guy not others, kuja na facts sio this crap
 
Eyouw boo boo kitty u tripping too niggy, hio range mwenyewe aliconfirm atatanunua sio kwamba analo, and how comes the dude kavuta Prado tx na hajawai kuonekana nayo barabarani for 13 weeks I mean seriously even for a test drive the guy hasn't been seen with what he claims he owns, that kind of shit is what he uses to make a kick out of people like you,,,,,go do some further research man mbona wenzie kina D na kina masanja wanatembea na BMW zao bila hofu huyu jamaa haitembelei, itakuwa kaazima apigie picha
 
too childish. im out.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…