Ney wa Mitego asitelekezwe. Ndugu wapambanaji kulikoni?

Ney wa Mitego asitelekezwe. Ndugu wapambanaji kulikoni?

Kuwashauri hao namna ya kutushughulikia tunapo komaa nao, ni kupoteza muda. Leo wa Mitego kesho Mwabukusi, Mdude, Madeleka, nk .. tunabakia kulia lia au tunakomaa nao sasa kama timu kamili?

Titausimamisha vipi ubazazi wao kwa woga uliopitiliza?

Kwa mwendo huu ni motisha ipi wanayo tunao wanyanyapaa wanaposhindwa ku react au kutokea mabarabarani?

Kwanini Chadema inakuwa kimya kuwahusu wahanga wa mapambano kama hawa?

Au ni ule mwendo wa kuwa hamisisha watu watokee mabarabarani yakiwakuta, tusijuane?
Proceedings za kesi zikiwa zinaendelea mara nyingi huwa taarifa hazitoki kwa wakati, lakini taarifa kutotoka kwa wakati hakuna maana Ney hana mtetezi, unless itakapothibitika hivyo, naamini akifikishwa mahakamani mbivu na mbichi ndio zitajulikana.
 
Naunga mkono hoja ✔️ uwepo utaratib wa uchangiaji kweny mfuko maalum wa wahanga kama Ney, ikibid achangiwe binafsi ili kuendesha maisha yake na aendeleze hatakati!! Tupo tayar kutoa michango endelevu!

Kuna kina Ben, Lijenje, Mawazo na wengine wasiokuwa na majina. Utaratibu wa kuwachangia wahanga ni mkakati mwema kwenye mapambano endelevu.
 
Proceedings za kesi zikiwa zinaendelea mara nyingi huwa taarifa hazitoki kwa wakati, lakini taarifa kutotoka kwa wakati hakuna maana Ney hana mtetezi, unless itakapothibitika hivyo, naamini akifikishwa mahakamani mbivu na mbichi ndio zitajulikana.

Hoja si huyu peke yake na pia si kesi tu. Wapo wengine kama yeye na itawakuta wengine pia hata wasiokuwa na majina.

Wako wapi kina Lijenje, Mawazo, Ben na wengine?

Zanzibar 2020 kama bara waliuawa watu, wakateswa, wakafungwa na wengine kujeruhiwa. Yupo aliyewakumbuka?

Zawadini tukuombe uzoefu tafadhali.
 
Hoja si huyu peke yake na pia si kesi tu. Wapo wengine kama yeye na itawakuta wengine pia hata wasiokuwa na majina.

Wako wapi kina Lijenje, Mawazo, Ben na wengine?

Zanzibar 2020 kama bara waliuawa watu na wengine kujeruhiwa. Yupo aliyewakumbuka?

Zawadini tukuombe uzoefu hapa.
Sijui unatak wakumbukwe na namna gani nyingine zaidi ya kuwa nao wakati wa matatizo, mtu kama Ben na Mawazo wale wanabaki kama somo kwetu, lakini kwa Ney, ushirikiano ataopewa wakati wa kesi yake ndio muhimu kwa sasa.
 
Kama maudhui ya mada yalivyo:

"Uwepo utaratibu wa uchangiaji kweny mfuko maalum wa wahanga kama Ney, ikibid achangiwe binafsi ili kuendesha maisha yake na aendeleze harakati." -- asema pia Pac the Don.

Ukraine anamtoa kamasi Putin Kwa sababu ya wahanga kutotelekezwa vitani.

Kwanini wasifichame watu uvunguni kama kumbe likimkuta huko alikwenda jichumia janga?

Ninalenga mkakati endelevu wa mapambano kwa wenye majina na wasiokuwa nayo.
 
Back
Top Bottom