denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Proceedings za kesi zikiwa zinaendelea mara nyingi huwa taarifa hazitoki kwa wakati, lakini taarifa kutotoka kwa wakati hakuna maana Ney hana mtetezi, unless itakapothibitika hivyo, naamini akifikishwa mahakamani mbivu na mbichi ndio zitajulikana.Kuwashauri hao namna ya kutushughulikia tunapo komaa nao, ni kupoteza muda. Leo wa Mitego kesho Mwabukusi, Mdude, Madeleka, nk .. tunabakia kulia lia au tunakomaa nao sasa kama timu kamili?
Titausimamisha vipi ubazazi wao kwa woga uliopitiliza?
Kwa mwendo huu ni motisha ipi wanayo tunao wanyanyapaa wanaposhindwa ku react au kutokea mabarabarani?
Kwanini Chadema inakuwa kimya kuwahusu wahanga wa mapambano kama hawa?
Au ni ule mwendo wa kuwa hamisisha watu watokee mabarabarani yakiwakuta, tusijuane?