Radhia Sweety
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 4,433
- 1,771
Kwenye ngoma yake mpya ya 'Salamu zao,' mkali anayesifika kwa kutopindisha maneno anamwambia Kikwete atatue mgogoro wa gesi Mtwara haraka na Zitto aachane na Bongofleva.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nijuavyo mimi mgogoro wa Mtwara ulishatulia maana wenye mapembe walishakatwa, na gesi ITATOKA!...huo wimbo ushapitwa na wakati!Kwenye ngoma yake mpya ya 'Salamu zao,' mkali anayesifika kwa kutopindisha maneno anamwambia Kikwete atatue mgogoro wa gesi Mtwara haraka na Zitto aachane na Bongofleva.
Kweli ila anaonyesha wazi Bwana Lowasa anavyomkubali.
Nijuavyo mimi mgogoro wa Mtwara ulishatulia maana wenye mapembe walishakatwa, na gesi ITATOKA!...huo wimbo ushapitwa na wakati!
Shida naiona kwako kwa kutoleta ile hotuba ya P.Kagame juzi!
kama mtu akipata wakati wakisikiloza huo wimbo atagundua kuwa Ney ameamua kuropoka kuanzia swala bss hadi swala la zitto.
Mh Zitto alichofanya nikujaribu kuwasaidia wasanii kupata haki zao kipitia miito ya sauti na ni wazi hawakuonesha ushirikiano kwa kujitoa ili kushinikiza kupandiahiwa malipo kutokana na nyimbo zao, na kwa hili Ney alipaswa kuwa na shukrani maana wasanii walipaswa kuishinikiza serikali ili kuisukuma kampuni za simu na katika hili zitto hakupaswa kulaumiwa kabisa bali kushukuriwa.
Ney ana mkashifu zitto as if zitto ni waziri wa kushughulikia maswala yao.
Ney ukimaikiliza humo ni wazi utagundua hajui anacho kisema na niwazi hajui kwanini tulipewa masikio mawili na mdomo mmoja.
We ndo hujui ukisemacho,Rose Muhando ndo alieeongoza kwa kupewa M27 kwa nyimbo zake kwa mwez je nayo n kaz ya Zitto kabwe?acha unaz ww,Ney kawachana.
Kwenye ngoma yake mpya ya 'Salamu zao,' mkali anayesifika kwa kutopindisha maneno anamwambia Kikwete atatue mgogoro wa gesi Mtwara haraka na Zitto aachane na Bongofleva.